Mazuzu aliowasema Msukule Manara .Nan hao mkuu[emoji23][emoji23]
Unadhani yanga angepewa ngapIna maanisha wao ni wamwisho
Unaboa...Weme tu undermine mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ushauri Kwa sisi wanasimba
Kama umekasirishwa na hii rank basi simu Yako igeuze juu chini ( upside ..down) ndipo tutakua wa kwanza
This is the only way tunaeza kuwa namba 1 kama hivi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji23]View attachment 2577006
Sawa sawa tukutane uwanjani tena tunamtaka huyo mwenye 26%Chapisho la Africa soccer zone kulingana na ubobezi wake limetoa % za timu zinazoweza kuchukua ubingwa wa CAFCL kama ifuatavyo MAKOLO ni WA mwisho Wana 3%
Probability of winning the CAF Champions League according to @AfricaSoccer_zn [emoji102][emoji471].
1. Mamelods = 26%
2 Wydadi Casablanca= 19%
3 Al ahly = 16%
4 Raja Casablanca= 13%
5 Esperence de Tunis = 10%
6 CR belouizidad = 8%
7 Js Kabyalje = 5%
8 SIMBA = 3%
#TotalEnergiesCAFCL #TotalEnergiesCAFCC
Je unadhani tumeonewa......& Unampa % ngapi mnyama ( dunduka FC ) kuchukua ubingwa????View attachment 2576981
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ushauri Kwa sisi wanasimba
Kama umekasirishwa na hii rank basi simu Yako igeuze juu chini ( upside ..down) ndipo tutakua wa kwanza
This is the only way tunaeza kuwa namba 1 kama hivi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji23]View attachment 2577006
Jamani☹️Ushauri Kwa sisi wanasimba
Kama umekasirishwa na hii rank basi simu Yako igeuze juu chini ( upside ..down) ndipo tutakua wa kwanza
This is the only way tunaeza kuwa namba 1 kama hivi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji23]View attachment 2577006
Kuwa MZALENDO.....Kwann Simba asichukuwe
3% maana yake inawezekanaChapisho la Africa soccer zone kulingana na ubobezi wake limetoa % za timu zinazoweza kuchukua ubingwa wa CAFCL kama ifuatavyo MAKOLO ni WA mwisho Wana 3%
Probability of winning the CAF Champions League according to @AfricaSoccer_zn [emoji102][emoji471].
1. Mamelods = 26%
2 Wydadi Casablanca= 19%
3 Al ahly = 16%
4 Raja Casablanca= 13%
5 Esperence de Tunis = 10%
6 CR belouizidad = 8%
7 Js Kabyalje = 5%
8 SIMBA = 3%
#TotalEnergiesCAFCL #TotalEnergiesCAFCC
Je unadhani tumeonewa......& Unampa % ngapi mnyama ( dunduka FC ) kuchukua ubingwa????View attachment 2576981
Tuwape muda kolo wizard fcUzalendo sio kufumbia macho unapozidiwa kiwango. Although i dont right off simba lakini wydad ni wamoto, wamejipanga na wako on fire.
Simba itahitajika acheze kiwango ambacho hawajahi kucheza their life time.