Simba wapewa 3% za kubeba ubingwa CAFCL

Simba wapewa 3% za kubeba ubingwa CAFCL

Ushauri Kwa sisi wanasimba

Kama umekasirishwa na hii rank basi simu Yako igeuze juu chini ( upside ..down) ndipo tutakua wa kwanza

This is the only way tunaeza kuwa namba 1 kama hivi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji23]View attachment 2577006
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Chapisho la Africa soccer zone kulingana na ubobezi wake limetoa % za timu zinazoweza kuchukua ubingwa wa CAFCL kama ifuatavyo MAKOLO ni WA mwisho Wana 3%

Probability of winning the CAF Champions League according to @AfricaSoccer_zn [emoji102][emoji471].

1. Mamelods = 26%
2 Wydadi Casablanca= 19%
3 Al ahly = 16%
4 Raja Casablanca= 13%
5 Esperence de Tunis = 10%
6 CR belouizidad = 8%
7 Js Kabyalje = 5%

8 SIMBA = 3%
#TotalEnergiesCAFCL #TotalEnergiesCAFCC

Je unadhani tumeonewa......& Unampa % ngapi mnyama ( dunduka FC ) kuchukua ubingwa????View attachment 2576981
Sawa sawa tukutane uwanjani tena tunamtaka huyo mwenye 26%
 
CAF haoooooo wanajuaaa aiseeee.......

Yanga sis WAARABU walituandamaaa raundiiii za mwanzo MAkoloooo mkawaa mnatuchekaaaa tuuu sasa na nyieeeee zamu yenu na mkumbuke hamjawah kumshinda mwarabu mwaka huuu hata huko nyumaa ushindi wenu ni golii 1 mkienda kwaooo TANOOO

NIKIWA MZALENDOOO NASEMA MWENDO MUMEUMALIZAAAAA LAKN KISHABIK SHABIK MPIRA NI DAKKA 90
 
HATA HIZO TATU NI NYINGI. WACHEZAJI WA SIMBA WAZITO HALAFU BADO WAPO OLD AGE KICHWANI.
 
Kuwa MZALENDO.....Kwann Simba asichukuwe

Uzalendo sio kufumbia macho unapozidiwa kiwango. Although i dont right off simba lakini wydad ni wamoto, wamejipanga na wako on fire.
Simba itahitajika acheze kiwango ambacho hawajahi kucheza their life time.
 
Chapisho la Africa soccer zone kulingana na ubobezi wake limetoa % za timu zinazoweza kuchukua ubingwa wa CAFCL kama ifuatavyo MAKOLO ni WA mwisho Wana 3%

Probability of winning the CAF Champions League according to @AfricaSoccer_zn [emoji102][emoji471].

1. Mamelods = 26%
2 Wydadi Casablanca= 19%
3 Al ahly = 16%
4 Raja Casablanca= 13%
5 Esperence de Tunis = 10%
6 CR belouizidad = 8%
7 Js Kabyalje = 5%

8 SIMBA = 3%
#TotalEnergiesCAFCL #TotalEnergiesCAFCC

Je unadhani tumeonewa......& Unampa % ngapi mnyama ( dunduka FC ) kuchukua ubingwa????View attachment 2576981
3% maana yake inawezekana
 
Uzalendo sio kufumbia macho unapozidiwa kiwango. Although i dont right off simba lakini wydad ni wamoto, wamejipanga na wako on fire.
Simba itahitajika acheze kiwango ambacho hawajahi kucheza their life time.
Tuwape muda kolo wizard fc
 
Back
Top Bottom