Mpira wa miguu ni mchezo usiotabirika kabisaChapisho la Africa soccer zone kulingana na ubobezi wake limetoa % za timu zinazoweza kuchukua ubingwa wa CAFCL kama ifuatavyo MAKOLO ni WA mwisho Wana 3%
CC
Je unadhani tumeonewa......& Unampa % ngapi mnyama ( dunduka FC ) kuchukua ubingwa????View attachment 2576981
Kama hakuna uwezekano inakuwa 0%Hapana mkuu.....labda ingekuwa 20
Wydad anachukua hili kombe back to back na atatupa ushindani sana kwenye super cup sisi
Na iwe kweliWydad anachukua hili kombe back to back na atatupa ushindani sana kwenye super cup sisi yanga
Amina sema jamaa Wana management yenye jicho sana maana siku Ile pale uwanjani niliona aliyekuwa kocha wao (Sasa kocha mkuu wa Morroco)akitoa ushauri ghafla wakaondoa kocha.Na iwe kweli
Mno Wana mpira wa akili kupitiliza kila mahali walipotafutia set piece Jana palikuwa na lengo halafu ule utulivu wao ili kupata matokeo [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]ni kiwango kingineKombe linaweza kurudi Morroco,Whydad wamebadirika Sana
Mpira una maajabu...... mamelods tulijua huu ni ubingwa wakeMno Wana mpira wa akili kupitiliza kila mahali walipotafutia set piece Jana palikuwa na lengo halafu ule utulivu wao ili kupata matokeo [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]ni kiwango kingine
Sema nadhani kocha mkuu wa Morroco Kuna namna kaingilia kwa bahati mbaya Pitso alikubali kutoa ushauri kwa Mamelody ila Waka muignore
Hizi hatua za mtuano zinahitaji akili nyingi sana kuzicheza yah mpira una maajabuMpira una maajabu...... mamelods tulijua huu ni ubingwa wake
We jamaa utabiri wako unakaribia Sana kutimiaWydad anachukua hili kombe back to back na atatupa ushindani sana kwenye super cup sisi yanga
Wana asilimia 51.We jamaa utabiri wako unakaribia Sana kutimia
Naona aisee japo waliyumba ila nafasi wanayo maana kishingo kavuka mtihani mkubwa sanaWe jamaa utabiri wako unakaribia Sana kutimia