Simba wapewa 3% za kubeba ubingwa CAFCL

Simba wapewa 3% za kubeba ubingwa CAFCL

Chapisho la Africa soccer zone kulingana na ubobezi wake limetoa % za timu zinazoweza kuchukua ubingwa wa CAFCL kama ifuatavyo MAKOLO ni WA mwisho Wana 3%
CC

Je unadhani tumeonewa......& Unampa % ngapi mnyama ( dunduka FC ) kuchukua ubingwa????View attachment 2576981
Mpira wa miguu ni mchezo usiotabirika kabisa
 
Kombe linaweza kurudi Morroco,Whydad wamebadirika Sana
Mno Wana mpira wa akili kupitiliza kila mahali walipotafutia set piece Jana palikuwa na lengo halafu ule utulivu wao ili kupata matokeo [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]ni kiwango kingine
Sema nadhani kocha mkuu wa Morroco Kuna namna kaingilia kwa bahati mbaya Pitso alikubali kutoa ushauri kwa Mamelody ila Waka muignore
 
Mpira una maajabu...... mamelods tulijua huu ni ubingwa wake
 
Back
Top Bottom