Simba wapo Algeria ya vijijini, maporini huko Kwa walima ngano

Madhara ya kushiriki Mashindano madogo ya Shirikisho, lazima timu zinazoshiriki haya mashindano zinatoka pembezoni.

Simba wapo maporini katika Jiji la Constantine Algeria ambalo ni mji wa kale ambapo walifika Roman empire
Yaani Kwa hapa Tanzania ni Kama Kilwa, Ruangwa lipo Namungo, Bagamoyo huko Kaole au Kigoma Ujiji.

Kufika Constantine huko hata ma bus hayafiki mpaka bodaboda

Mtani amepanda bodaboda 😄

Yanga ipo katika Jiji la Algiers ambao ndo mji mkuu hapo Algeria yaani Kwa Hapa Tanzania ni kama Dar es salaam, wapo hotel ya five star ✨

Hakuna timu itacheza mashindano ya akina mama iwe mjini, itapatakana maporini tu, Mtani yupo Jiji la Constantine Algeria analiwa na mbu na manyani

Yanga ndo team inacheza mashindano makubwa Africa na zinacheza timu kubwa tu mtani yeye yupo UMISETA

Yanga Bingwa
Haya tuambie habari za jijini
 
Mko mjini kufanya umalaya..mnagawa tu
 
Na mmegongwa huko huko kwenye hotel za nyota 5. Burdaaaaan.
 
Mjini kimetokea nn? Mbna mayowee mengiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ma- born town feki wameuziwa kipande cha sabuni badala ya simu.

Waliambiwa ni Iphone37 toleo la mbinguni. Sasa mji mzima unawacheka😃😄😀
 
Back
Top Bottom