Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ni mkimbizi ndo maana king'ang'anizi...Ngara ni burundi sema nyerere alipachukua kibabe
Ulitgemea kwa akili zako zaviraka unielewe?Hueleweki
Ndo akili za shirikisho
Kuna watu walicheza fainali ya hilo kombe la kina mama ila wenyewe wanatamba hadi sasa!Madhara ya kushiriki Mashindano madogo ya Shirikisho, lazima timu zinazoshiriki haya mashindano zinatoka pembezoni.
Simba wapo maporini katika Jiji la Constantine Algeria ambalo ni mji wa kale ambapo walifika Roman empire
Yaani Kwa hapa Tanzania ni Kama Kilwa, Ruangwa lipo Namungo, Bagamoyo huko Kaole au Kigoma Ujiji.
Kufika Constantine huko hata ma bus hayafiki mpaka bodaboda
Mtani amepanda bodaboda 😄
Yanga ipo katika Jiji la Algiers ambao ndo mji mkuu hapo Algeria yaani Kwa Hapa Tanzania ni kama Dar es salaam, wapo hotel ya five star ✨
Hakuna timu itacheza mashindano ya akina mama iwe mjini, itapatakana maporini tu, Mtani yupo Jiji la Constantine Algeria analiwa na mbu na manyani
Yanga ndo team inacheza mashindano makubwa Africa na zinacheza timu kubwa tu mtani yeye yupo UMISETA
Yanga Bingwa
Nitafsirie kwa kiswahili maana ya young Africans ndugu ChuraHueleweki
Ndo madhara ya kuwa shabiki wa timu la shirikisho
Bora kucheza rede kuliko kujisifu kufika fainali dhidi ya wauza papuchi wenzako!5imba wanacheza rede kwenye mashindano ya akina mama
Mta google picha hadi za Jiji la Mungu😅🤣😭View attachment 3171221 kijiji kizuri kuliko Dar