Simba wapo Algeria ya vijijini, maporini huko Kwa walima ngano

Shule kitambo, enzi nasoma niliambiwa....

Mji mkuu - Dar
Makao makuu - Dodoma.

Kwa kweli mambo yamebadilika sana leo nimeamua kufatilia nimebubujikwa na machozi mno
Makao makuu ya shirika,chama cha siasa,ya taasisi ama una maanisha makao makuu ya nini?
Mji mkuu=Capital city.
Makao makuu=Central office.
Ebu njoo tena.
 
Madhara ya kushiriki Mashindano madogo ya Shirikisho, lazima timu zinazoshiriki haya mashindano zinatoka pembezoni.

Simba wapo maporini katika Jiji la Constantine Algeria ambalo ni mji wa kale ambapo walifika Roman empire
Yaani Kwa hapa Tanzania ni Kama Kilwa, Ruangwa lipo Namungo, Bagamoyo huko Kaole au Kigoma Ujiji.

Kufika Constantine huko hata ma bus hayafiki mpaka bodaboda

Mtani amepanda bodaboda 😄

Yanga ipo katika Jiji la Algiers ambao ndo mji mkuu hapo Algeria yaani Kwa Hapa Tanzania ni kama Dar es salaam, wapo hotel ya five star ✨

Hakuna timu itacheza mashindano ya akina mama iwe mjini, itapatakana maporini tu, Mtani yupo Jiji la Constantine Algeria analiwa na mbu na manyani

Yanga ndo team inacheza mashindano makubwa Africa na zinacheza timu kubwa tu mtani yeye yupo UMISETA

Yanga Bingwa
Yule kocha aliyewaita Manyani ajengewe mnara
 
Madhara ya kushiriki Mashindano madogo ya Shirikisho, lazima timu zinazoshiriki haya mashindano zinatoka pembezoni.

Simba wapo maporini katika Jiji la Constantine Algeria ambalo ni mji wa kale ambapo walifika Roman empire
Yaani Kwa hapa Tanzania ni Kama Kilwa, Ruangwa lipo Namungo, Bagamoyo huko Kaole au Kigoma Ujiji.

Kufika Constantine huko hata ma bus hayafiki mpaka bodaboda

Mtani amepanda bodaboda [emoji1]

Yanga ipo katika Jiji la Algiers ambao ndo mji mkuu hapo Algeria yaani Kwa Hapa Tanzania ni kama Dar es salaam, wapo hotel ya five star [emoji92]

Hakuna timu itacheza mashindano ya akina mama iwe mjini, itapatakana maporini tu, Mtani yupo Jiji la Constantine Algeria analiwa na mbu na manyani

Yanga ndo team inacheza mashindano makubwa Africa na zinacheza timu kubwa tu mtani yeye yupo UMISETA

Yanga Bingwa
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Madhara ya kushiriki Mashindano madogo ya Shirikisho, lazima timu zinazoshiriki haya mashindano zinatoka pembezoni.

Simba wapo maporini katika Jiji la Constantine Algeria ambalo ni mji wa kale ambapo walifika Roman empire
Yaani Kwa hapa Tanzania ni Kama Kilwa, Ruangwa lipo Namungo, Bagamoyo huko Kaole au Kigoma Ujiji.

Kufika Constantine huko hata ma bus hayafiki mpaka bodaboda

Mtani amepanda bodaboda
 
Madhara ya kushiriki Mashindano madogo ya Shirikisho, lazima timu zinazoshiriki haya mashindano zinatoka pembezoni.

Simba wapo maporini katika Jiji la Constantine Algeria ambalo ni mji wa kale ambapo walifika Roman empire
Yaani Kwa hapa Tanzania ni Kama Kilwa, Ruangwa lipo Namungo, Bagamoyo huko Kaole au Kigoma Ujiji.

Kufika Constantine huko hata ma bus hayafiki mpaka bodaboda

Mtani amepanda bodaboda 😄

Yanga ipo katika Jiji la Algiers ambao ndo mji mkuu hapo Algeria yaani Kwa Hapa Tanzania ni kama Dar es salaam, wapo hotel ya five star ✨

Hakuna timu itacheza mashindano ya akina mama iwe mjini, itapatakana maporini tu, Mtani yupo Jiji la Constantine Algeria analiwa na mbu na manyani

Yanga ndo team inacheza mashindano makubwa Africa na zinacheza timu kubwa tu mtani yeye yupo UMISETA

Yanga Bingwa
Kumbuka Utopolo yako ilivuliwa chupi mara mbili kwenye majaluba ya mpunga kule Mbarali na Ihefu.
 
Back
Top Bottom