Simba wapo Algeria ya vijijini, maporini huko Kwa walima ngano

Madhara ya kushiriki Mashindano madogo ya Shirikisho, lazima timu zinazoshiriki haya mashindano zinatoka pembezoni.

Simba wapo maporini katika Jiji la Constantine Algeria ambalo ni mji wa kale ambapo walifika Roman empire
Yaani Kwa hapa Tanzania ni Kama Kilwa, Ruangwa lipo Namungo, Bagamoyo huko Kaole au Kigoma Ujiji.

Kufika Constantine huko hata ma bus hayafiki mpaka bodaboda

Mtani amepanda bodaboda 😄

Yanga ipo katika Jiji la Algiers ambao ndo mji mkuu hapo Algeria yaani Kwa Hapa Tanzania ni kama Dar es salaam, wapo hotel ya five star ✨

Hakuna timu itacheza mashindano ya akina mama iwe mjini, itapatakana maporini tu, Mtani yupo Jiji la Constantine Algeria analiwa na mbu na manyani

Yanga ndo team inacheza mashindano makubwa Africa na zinacheza timu kubwa tu mtani yeye yupo UMISETA

Yanga Bingwa
Tusubiri matokeo
 
Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
Mzungu pori÷
Wenye akili wapo wawili tu ndani ya utopolo hata kama umesoma vipi ila ukiwa kiongozi au mwanachama na shabiki basi we una akili.
Na kuna kocha alisema
Mashabiki wa utopolo ni manyani
HAPO VIPI?.
 
Mwanachama hai wa Rage
Ametoka machakani
 
Nimeona Koti la Msemaji wa Simba, Koti la Bwana mifugo anavalishwa Kiongozi.
Sanda ana wazalilisha mbumbumbu.
Ata kama mpo Algeria vijijini lakini si wakuvalishana Makoti ya madaktari wa mifugo.
 
Kwani Rage alivowaita mbumbumbu hukumwelewa?
 
Madhara ya kushiriki Mashindano madogo ya Shirikisho, lazima timu zinazoshiriki haya mashindano zinatoka pembezoni.

Simba wapo maporini katika Jiji la Constantine Algeria ambalo ni mji wa kale ambapo walifika Roman empire
Yaani Kwa hapa Tanzania ni Kama Kilwa, Ruangwa lipo Namungo, Bagamoyo huko Kaole au Kigoma Ujiji.

Kufika Constantine huko hata ma bus hayafiki mpaka bodaboda

Mtani amepanda bodaboda 😄

Yanga ipo katika Jiji la Algiers ambao ndo mji mkuu hapo Algeria yaani Kwa Hapa Tanzania ni kama Dar es salaam, wapo hotel ya five star ✨

Hakuna timu itacheza mashindano ya akina mama iwe mjini, itapatakana maporini tu, Mtani yupo Jiji la Constantine Algeria analiwa na mbu na manyani

Yanga ndo team inacheza mashindano makubwa Africa na zinacheza timu kubwa tu mtani yeye yupo UMISETA

Yanga Bingwa
No wonder unsjiita Ngara hala 23 yaanimwaka uliofanikiwa kwenda mjini ukitokea huko Ngara
 
Back
Top Bottom