Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulizaliwa na nani? Nyani ?Mashindano ya Wamama.... aka Kombe la Wamama watapigwa kama ngoma Losers Cup.
Muoneeni huruma tu huyo tangu afiwe na mama yake amekua kama chizi chochote kitomkacho mdomoni anaropoka tu.Inaonekana hicho kijiji simba walipo unakijua sana,vp mwenyekiti wa kijiji anaitwa nani?
Huwa unatoka pangoni Simba akishindaBABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALITUTAJIA MAADUI.
1. UMASIKINI
2.UJINGA.
3. MARADHI.
Akasema Hawa ni maadui wa kweli kweli katika hili Taifa.
LEO 2024 BAADA YA MIAKA 60 TUMEKUWA NA MAADUI WENGI ZAIDI.
2024 maadui wameongeseka Zaidi kuliko wale watatu wa 1961.
1.Umasikini na ufukara.
2.Ujinga na upumbavu.
3.Magonwa na Maradhi.
4.Mmomonyoko wa Maadili.
ushoga, usagaji Kamali, sugar mamy, sugar Dady mashangazi
AJIRA.
5. Rushwa na Upendelo
6. USimba na u yanga.
7. Mitandao ya kijamii Tiktok, x, nk
8. Manabii wa uongo na Mashehe Uchwara.
9. Ajali nyingi mno.
10. Gharama kubwa za maisha, ujenzi holela nk
MAMBO NI MENGI SANA VIJANA WA KITANZANIA WANAWAZA MAMBO YA HOVYO SANA SIMBA NA YANGA ZINATAWALA MIKEKA NK.
OKOENI TAIFA LENU LEO.
MKIFIKA MBINGUNI MTAHOJIWA NA MUNGU MLILIFANYIA NINI TAIFA LENU NIMEMALIZA.
HahahaaaMuoneeni huruma tu huyo tangu afiwe na mama yake amekua kama chizi chochote kitomkacho mdomoni anaropoka tu.
Dar Es Salaam ni mji mkuu wa Tanzania?Madhara ya kushiriki Mashindano madogo ya Shirikisho, lazima timu zinazoshiriki haya mashindano zinatoka pembezoni.
Simba wapo maporini katika Jiji la Constantine Algeria ambalo ni mji wa kale ambapo walifika Roman empire
Yaani Kwa hapa Tanzania ni Kama Kilwa, Ruangwa lipo Namungo, Bagamoyo huko Kaole au Kigoma Ujiji.
Kufika Constantine huko hata ma bus hayafiki mpaka bodaboda
Mtani amepanda bodaboda 😄
Yanga ipo katika Jiji la Algiers ambao ndo mji mkuu hapo Algeria yaani Kwa Hapa Tanzania ni kama Dar es salaam, wapo hotel ya five star ✨
Hakuna timu itacheza mashindano ya akina mama iwe mjini, itapatakana maporini tu, Mtani yupo Jiji la Constantine Algeria analiwa na mbu na manyani
Yanga ndo team inacheza mashindano makubwa Africa na zinacheza timu kubwa tu mtani yeye yupo UMISETA
Yanga Bingwa
Mbona jamaa yuko sahihi mji mkuu ni huko DasalamHaujui hata mji mkuu wa Tanzania halafu unataka tukuchukulie siriazi. Mengine nakusamehe, najua ukikua utayaacha tu
Mji mkuu wa Tanzania ni wapi?Dar Es Salaam ni mji mkuu wa Tanzania?
Tangia siku gani mkuu?
Ukiwa chura ni chura tu, mvua ikinyesha ukatoka matopeni unaanza kushangilia na kutukana matope. Kweli wewe Utopolo naona sindano zinawatia uchiziMadhara ya kushiriki Mashindano madogo ya Shirikisho, lazima timu zinazoshiriki haya mashindano zinatoka pembezoni.
Siku hizi kuna JIJI lipo porini. Yaani jiji kama Arusha hivi lipo porini.Simba wapo maporini katika Jiji la Constantine Algeria ambalo ni mji wa kale ambapo walifika Roman empire
Wewe utakuwa dereva wa boda we chizii maarifaKufika Constantine huko hata ma bus hayafiki mpaka bodaboda
Mtani amepanda bodaboda 😄
Subirini kichapo cha pili mfululizo. Unadhani CL ni ya wachoma Sindano. Mtapigwa matobo mpaka mkome Utopolo nyie.Yanga ipo katika Jiji la Algiers ambao ndo mji mkuu hapo Algeria yaani Kwa Hapa Tanzania ni kama Dar es salaam, wapo hotel ya five star ✨
Kama ni timu kubwa kawaulize Tabora iliyoungana na Al Hilal mdumange watakwambia timu kubwa na ipi. Kesho ndo utajua kubwa na ndogo. Hamkawii kumlaumu Diara. Ila msijali mwakani tutawapa Manula atawasaidia, si mmebaki kusubiria wachezaji wanaotemwa Simba mnadaka. Lipeni pesa za Okra lakini mfinguliwe usajili ili mumchukue Manula next yearYanga ndo team inacheza mashindano makubwa Africa na zinacheza timu kubwa tu mtani yeye yupo UMISETA
Jamaa hebu kuwa siriaz kidogo....mji mkuu wa Tanzania ni Dodoma bhana. Dar es Salaam ni mji maarufu zaidi na kitovu cha biashara.Mbona jamaa yuko sahihi mji mkuu ni huko Dasalam
Dodoma nini dogo, au Samia yupo wapiMji mkuu wa Tanzania ni wapi?
Nenda kasome kitabu cha historia ya Tanzania std 3.Mji mkuu wa Tanzania ni wapi?
Uongo, tena ni uongo uliopitiliza.Huko Kuna manyani tu
😄😆😅Ukiwa chura ni chura tu, mvua ikinyesha ukatoka matopeni unaanza kushangilia na kutukana matope. Kweli wewe Utopolo naona sindano zinawatia uchizi
Juzijuzi tu hapa mmetoka kujisifu mmefika fainali, kweli MANYANI hayaoni kundu lake.
Siku hizi kuna JIJI lipo porini. Yaani jiji kama Arusha hivi lipo porini.
Kweli Sindano fc mna matatizo, nilidhani ni wachezaji tu kumbe hadi mashabiki. Mnatufanya mashabiki wa mpira Tanzania tuonekane wapumbavv kumbe kuna wachoma sindano wachache.
Wewe utakuwa dereva wa boda we chizii maarifa
Subirini kichapo cha pili mfululizo. Unadhani CL ni ya wachoma Sindano. Mtapigwa matobo mpaka mkome Utopolo nyie.
Kama ni timu kubwa kawaulize Tabora iliyoungana na Al Hilal mdumange watakwambia timu kubwa na ipi. Kesho ndo utajua kubwa na ndogo. Hamkawii kumlaumu Diara. Ila msijali mwakani tutawapa Manula atawasaidia, si mmebaki kusubiria wachezaji wanaotemwa Simba mnadaka. Lipeni pesa za Okra lakini mfinguliwe usajili ili mumchukue Manula next year
Shule kitambo, enzi nasoma niliambiwa....Nenda kasome kitabu cha historia ya Tanzania std 3.