Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,517
- 3,316
Sisi ndo sisi..... Hakuna kama sisi.
usifate maneno ya ahmed ally yanga haina haja ya kwenda congo kujua syatus ya mchezaji mcongoman,kwani hiyo congo yote inatawaliwa na yanga
Maana sisi ndo tumelishikia bango suala la Mpanzu utadhani ni Malaika.usifate maneno ya ahmed ally yanga haina haja ya kwenda congo kujua syatus ya mchezaji mcongoman,kwani hiyo congo yote inatawaliwa na yanga
Ha ha ha porojoNinachojua Max Nzengeli ni Simba tayari kama free agent (Bosman)
Yanga ni mazuzuNi kelele za hovyo TU afrika Ina kina mpanzu wengi tena wengine kuliko hata yeye
Ni kutuliza kichwa na kuvuta mchezaji mzuri kabisa
Kwani ikangalombo vipi, ameshindwa kumzima mpanzu?Yanga ni mazuzu
Ameshindwa,japo walikuwa wakicheza pamoja,lakini kashindwa na yanga washamjulisha kuwa msimu ukiisha bye byeKwani ikangalombo vipi, ameshindwa kumzima mpanzu?
iliishaHivi ile kesi ya Kagoma kusajiliwa Yanga halafu akachezea Simba imeenza kusikilizwa......!
July sio mbaliHa ha ha porojo
sawaJuly sio mbali