Simba wapo Morocco, Yanga tumeenda Kongo kuulizia kuhusu Elie Mpanzu. Dunia haipo fair kabisa

usifate maneno ya ahmed ally yanga haina haja ya kwenda congo kujua syatus ya mchezaji mcongoman,kwani hiyo congo yote inatawaliwa na yanga
Maana sisi ndo tumelishikia bango suala la Mpanzu utadhani ni Malaika.
 
Ninachojua Max Nzengeli ni Simba tayari kama free agent (Bosman)
 
Mnajitekenya na kucheka wenyewe.... Alete ushahidi alipoona ama kusikia mawasiliano ya watu wa yanga huko kongo...
 
"aliyekuwa wenu atakuwa wetu na wetu atabaki kwetu tu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…