kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Ndio,S.S.C Wapo Zambia ni Watanzania Hawa, wakiwa Wanawakilisha Bendera yetu ya Tanzania. Kama Watanzania hatuna budi kuweka tofauti zetu pembeni. Dua na Sala Zote Kwa Simba Sports Club ifuzu Hatua ya Makundi...huwezi Jua huko mbele Tunaweza Ku Retain Zile Nafasi zetu 4 CAF!
Hivyo Taifa Letu Likawa Miongoni Mwa Mataifa Yanayoogopwa kwa Soka Kupitia Mlango huu clubs.
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Simba.
Hivyo Taifa Letu Likawa Miongoni Mwa Mataifa Yanayoogopwa kwa Soka Kupitia Mlango huu clubs.
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Simba.