Simba wapo Zambia kupigania Tanzania. Wote Tuungane Kuiombea

Simba wapo Zambia kupigania Tanzania. Wote Tuungane Kuiombea

Walokole wazinzi hamnaga nguvu, hata wala sihaanguka, je shetani langu latokaje?
Mpaka hapa tayari umeshahangaika. Moto wa malaika Michael umeanza kuchoma pepo UTOPOLO.

Naita moto makali uweze kuteketeza pepo UTOPOLO ndani yako, na hatimaye uwe mmoja wa kondoo.
 
Ndio,S.S.C Wapo Zambia ni Watanzania Hawa, wakiwa Wanawakilisha Bendera Yetu Ya Tanzania. Kama Watanzania hatuna budi Kuweka Tofauti zetu Pembeni. Dua na Sala Zote Kwa Simba Sports Club ifuzu Hatua ya Makundi...huwezi Jua huko mbele Tunaweza Ku Retain Zile Nafasi zetu 4 CAF!
Hivyo Taifa Letu Likawa Miongoni Mwa Mataifa Yanayoogopwa kwa Soka Kupitia Mlango huu clubs..!
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Simba...!
Mechi hii ya simba vs Red arrows inachezwa saa ngapi?
 
Maombi hawachezi. Wakajitume uwanjani wacheze kwa nguvu zote na mbinu bora watapata matokeo.
 
Ndio,S.S.C Wapo Zambia ni Watanzania Hawa, wakiwa Wanawakilisha Bendera Yetu Ya Tanzania. Kama Watanzania hatuna budi Kuweka Tofauti zetu Pembeni. Dua na Sala Zote Kwa Simba Sports Club ifuzu Hatua ya Makundi...huwezi Jua huko mbele Tunaweza Ku Retain Zile Nafasi zetu 4 CAF!
Hivyo Taifa Letu Likawa Miongoni Mwa Mataifa Yanayoogopwa kwa Soka Kupitia Mlango huu clubs..!
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Simba...!
Mungu wabariki Simba kwa ajili ya furaha ya Wanamsimbazi.
 
Ni suala la muda tu.
MZIGO UINGIE ACCOUNT YA MSIMBAZI.
JE UTO WANAVUNA NINI?
Screenshot_20211203-093054.jpg
 
Niambie mtu wa Sangarini atafaidikaje au atapata hasara gani kwa Makolo kushinda au kufungwa!?

Msitutishe. Tena ikiwezekana washonwe 8 dadeki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sasa mkuu wakishonwa 8 utanufaika nini na hao watu wako wa SANGARINI?
 
Back
Top Bottom