Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Vision ya kuona angle hii anaipatia wapi?Sasa mkuu Tanzania Ikipewa nafasi 4 tena za Kuingiza timu Michuano Ya CAF mwakani atayefaidika ni Taifa Lote!
We fikiria Biashara Imetoka huuuko sijui Mara na Yenyewe ilidondokewa na Bahati Ya Kupanda ndege Mwaka huu, Isingekuwa Uchanga Wao nao Kwenye hatua hii Wangekuwepo pia.
Kwa hiyo Relax....! Ukiweza piga Dua, Ukishindwa nyamaza Kimya.