kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Wewe ndo hauna huo muda na roho yako mbaya. Usiseme hatuna kana kwamba unaongea kwa niaba yanguHatuna huo muda wa kuchezea..
Hata mimi sina huo upumbavu apigwe 4 na tarehe 11 amaliziwe 3 atutolee upumbavu wakeWewe ndo hauna huo muda na roho yako mbaya. Usiseme hatuna kana kwamba unaongea kwa niaba yangu
Sasa kwanini mseme watanzania badala muombe nyinyi kwanini mtujumlishe wote?Wewe ndo hauna huo muda na roho yako mbaya. Usiseme hatuna kana kwamba unaongea kwa niaba yangu
Dua ya kuku haimpati.Hata mimi sina huo upumbavu apigwe 4 na tarehe 11 amaliziwe 3 atutolee upumbavu wake
Kwa walio na akili zilizochanganyika na haja kubwa hii kauli wataiunga mkonoHatuna huo muda wa kuchezea..
Hata mimi sina huo muda.Wewe ndo hauna huo muda na roho yako mbaya. Usiseme hatuna kana kwamba unaongea kwa niaba yangu
Niambie mtu wa Sangarini atafaidikaje au atapata hasara gani kwa Makolo kushinda au kufungwa!?Wapo WaTz wengi wanaiombea S.S.C ipite. Iwapo kama Huwezi Kuiombea basi japo kaa Kimya.
Hii ni Vita Ya Kimataifa, Faida au hasara ni Kwa Taifa Zima.
Naunga mkono hoja,hatuna huo muda mchafu.Kwa walio na akili zilizochanganyika na haja kubwa hii kauli wataiunga mkono
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Bora usiombe tu, kwanza dua yako haifiki popote, toka uanze kuwaombea wagonjwa kapona nani mkuu([emoji23][emoji23])Hata mimi sina huo muda.
Niache kuombea wagonjwa niombee Makolo!!!
Never never and never again.
Ndio,S.S.C Wapo Zambia ni Watanzania Hawa, wakiwa Wanawakilisha Bendera Yetu Ya Tanzania. Kama Watanzania hatuna budi Kuweka Tofauti zetu Pembeni. Dua na Sala Zote Kwa Simba Sports Club ifuzu Hatua ya Makundi...huwezi Jua huko mbele Tunaweza Ku Retain Zile Nafasi zetu 4 CAF!
Hivyo Taifa Letu Likawa Miongoni Mwa Mataifa Yanayoogopwa kwa Soka Kupitia Mlango huu clubs..!
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Simba...!
Sasa mkuu Tanzania Ikipewa nafasi 4 tena za Kuingiza timu Michuano Ya CAF mwakani atayefaidika ni Taifa Lote!Niambie mtu wa Sangarini atafaidikaje au atapata hasara gani kwa Makolo kushinda au kufungwa!?
Msitutishe. Tena ikiwezekana washonwe 8 dadeki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]8
Acha kila timu iende kwa uwezo na nafasi yake kwenye ligi.Sasa mkuu Tanzania Ikipewa nafasi 4 tena za Kuingiza timu Michuano Ya CAF mwakani atayefaidika ni Taifa Lote!
We fikiria Biashara Imetoka huuuko sijui Mara na Yenyewe ilidondokewa na Bahati Ya Kupanda ndege Mwaka huu, Isingekuwa Uchanga Wao nao Kwenye hatua hii Wangekuwepo pia...!
Kwa hiyo Relax....! Ukiweza piga Dua, Ukishindwa nyamaza Kimya.
Wanapona sana!!![emoji23][emoji23]Bora usiombe tu, kwanza dua yako haifiki popote, toka uanze kuwaombea wagonjwa kapona nani mkuu([emoji23][emoji23])
Joke
Wala hatuwezi kabisa kuiombea simba ushindeNdio,S.S.C Wapo Zambia ni Watanzania Hawa, wakiwa Wanawakilisha Bendera Yetu Ya Tanzania. Kama Watanzania hatuna budi Kuweka Tofauti zetu Pembeni. Dua na Sala...
Labda aombe maji ya kunywa kwa majiraniBora usiombe tu, kwanza dua yako haifiki popote, toka uanze kuwaombea wagonjwa kapona nani mkuu([emoji23][emoji23])
Joke
Simba ikabebwe na nyani wao. Ibebeni huko huko mlete majawabu sahihiNdio,S.S.C Wapo Zambia ni Watanzania Hawa, wakiwa Wanawakilisha Bendera Yetu Ya Tanzania. Kama Watanzania hatuna budi Kuweka Tofauti zetu Pembeni. Dua na Sala...