Vision ya kuona angle hii anaipatia wapi?Sasa mkuu Tanzania Ikipewa nafasi 4 tena za Kuingiza timu Michuano Ya CAF mwakani atayefaidika ni Taifa Lote!
We fikiria Biashara Imetoka huuuko sijui Mara na Yenyewe ilidondokewa na Bahati Ya Kupanda ndege Mwaka huu, Isingekuwa Uchanga Wao nao Kwenye hatua hii Wangekuwepo pia.
Kwa hiyo Relax....! Ukiweza piga Dua, Ukishindwa nyamaza Kimya.
Yanga haina uwezo wa kushiriki hayo mashindano bila kupigwa jerk na simbaAcha kila timu iende kwa uwezo na nafasi yake kwenye ligi.
Hizi kauli za"tumewabeba"ndo hatutaki kuzisikia.
Simba wao wapambane wasonge mbele,wakufungwa poa tu.
Yanga nae apambane,akishindwa poa tu.
Sionagi mantiki ya kupeleka timu 4 halafu nyingine hazifi hata round ya pili.
Timu ipambane,mpira na dua wapi na wapi!!
Msitulazimishe tuwaombee hao wajinga wanaoenda kubamizwa 4 na mkeka nimeweka tayari Sina uzalendo wa kizembe zembe kwa team ya hovyo?kwani waliposema tyson bondia wa dunia ulitaka mpaka aje ampige babu yako huko simiyu?
Afu nyuma ya kapeti unaibetia ushindi, kupitia simba unakuta unapata chochote kitu halafu ukija hapa jukwaani unajidai hater wakati ni snitch tu
Yanga wametoa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787].Yanga wametoa biln 2.1 kuidhamini ligu kuu ya NBC,sasa uaneni huko.
Uto wanapata nini?Duh mzigo umeshuka kiasi hiki. Msimu uliopita zilikuwa zinatamkwa bilion bilioni ila leo hii zinatamkwa milioni milioni.
Al ahly mwenyewe ulimshinda huo mfupa pale pale kwao alipigwa mwingi akapaki basi, sembuse hawa wa Mbeya AMsitulazimishe tuwaombee hao wajinga wanaoenda kubamizwa 4 na mkeka nimeweka tayari Sina uzalendo wa kizembe zembe kwa team ya hovyo?
Sawa nyani na mbwa, kwa mujibu wa Luc EymaelNimeungana na wewe kusema kwamba hatuna muda huo wa kuishabikia timu ya Simba. Kadhalika napenda kuongezea kwamba naomba wafungwe mabao 5 ili akili ziwakae sawa.
Mpira umeisha, ongea Tena pumba na mashudu yako.....Simba baba laoHata mimi sina huo upumbavu apigwe 4 na tarehe 11 amaliziwe 3 atutolee upumbavu wake
Hongera bana mmefuzu makundi.Yanga wametoa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ngoja kwanza tuuchukue ubingwa halafu ndo tutajua tunao huo uwezo ama lah!!Yanga haina uwezo wa kushiriki hayo mashindano bila kupigwa jerk na simba
Haya hongereni mmafuzu.Unaunga mkono hoja ya kijinga namna hiyo
Sa si bora huo mkono ungeutumia kuunga mboga tu
Aisee nani Kabwili?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa umenichekesha sana.Mtulize kwanza.mkeo upate amani ndani ya Moyo wako... Stress zako za ndoa usituletee hapa
View attachment 2033475