CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
🤣🤣🤣🤣Watapoteana hawa[emoji1787]
Hapa ligi haijaanza
Ingia katika mtandao wa Simba, kabla ya pre-season wachezaji wote walichekiwa na picha zilipostiwa. Kama wachezaji waliokuwepo walifanyia checkup, unadhani wapya itakuwaje? Mazoezi ya uwanjani ya kumjaribu mchezaji hata Yanga wenyewe hawafanyi na nilichokiona kule Uturuki makipa ndiyo wanapigishwa matizi magumu kuliko wachezaji wengine.Hivi ktk hawa wachezaji wote walio sajiliwa wamefanyiwa ila body check up kiundani zaidi......?. au ndio vile tumewakagua kwa macho.
Hili swali ni muhimu kwani kila timu inatakiwa kujiuliza.Nayaona ya Sawadogo na Bigirimana ya kijirudia,timu zimejaa viongozi wahuni.
Mbona unamwandama sana Fraga wakati Kila mwanamsimbazi anatamani arudi/Simba ni SIKIO la kufa.
Nilimtumia Email KAJULA.
Nilimuonya kutosajili wachezaji Nje ya Africa.
Nikaambatanisha na mifano.
1. Dejan.
2. Santos.
3. Wilker Da silver.
4. Falager.
Lakini wapi.
LEO AIBU IMEWAPATA.
Baada ya KUACHANA na huyo Arison Beker WA MCHONGO wanarudi Tena KOSA kwenda Brazil.
KWA MTINDO HUU WA USAJILI MSITEGEMEE KUFIKA NUSU FAINALI WALA FAINALI
View attachment 2703114
View attachment 2703114
HAKUNA SCAUT NI GELESHA.
Check nazo zingumzia mimi ni kama hizi.Ingia katika mtandao wa Simba, kabla ya pre-season wachezaji wote walichekiwa na picha zilipostiwa. Kama wachezaji waliokuwepo walifanyia checkup, unadhani wapya itakuwaje? Mazoezi ya uwanjani ya kumjaribu mchezaji hata Yanga wenyewe hawafanyi na nilichokiona kule Uturuki makipa ndiyo wanapigishwa matizi magumu kuliko wachezaji wengine.
Sasa kama wachezaji wenyewe wanasainishwa airportHivi ktk hawa wachezaji wote walio sajiliwa wamefanyiwa ila body check up kiundani zaidi......?. au ndio vile tumewakagua kwa macho.
Hili swali ni muhimu kwani kila timu inatakiwa kujiuliza.Nayaona ya Sawadogo na Bigirimana ya kijirudia,timu zimejaa viongozi wahuni.
Hawa ni wachezaji waliokuwepo ndiyo picha zilitolewa, na hao hawahitaji hiyo deep physical checkup maana walikuwa na timu hata miezi miwili tu haijapita. Hakuna picha ya mchezaji mpya zilitolewa akifanyiwa checkup. Pia una uhakika vifaa vyote vinavyotumika huko nje vipo katika taasisi zetu za afya maana unasema timu hazitumii professionals wakati hapo alipo Kapombe ni Hospitali ya Muhimbili.Check nazo zingumzia mimi ni kama hizi.
View attachment 2703118
View attachment 2703119
Wenzetu mchezaji kabla hawaja msainisha mkataba wanamcheki afya kiundani zaidi.Ziyech mchezaji wa Chelsea alitakiwa kusajiliwa uarabuni, ila aligota kwenye vipimo vya afya. Ila si Simba,Yanga wala Azam ambao huwafanyia wachezaji wapya,full body check kabla ya kuwasainisha mkataba.
Sisi huku vipimo tuvifanyavyo hata ww ukiumwa unafanyiwa,ukienda pale hospitalini,watapima uzito,presha na joto ndicho mlicho kifanya kwa wachezaji wenu wapya na wazamani.
View attachment 2703120
Tunaona ubahili kuwatumia maprofessional wazuri wa afya na vifaa vya kisasa,baadae mchezaji anakuja kuigharimu timu kwenye kumtibia na kwenye kuvunja mkataba.
Mchezaji una msajili kwa mamilioni ya shilingi, ila unaweza ukakuta gharama tu za kumsafirisha hapo South Africa kwenye maproffesional wazuri wa kiafya hazizidi hata milioni tano mpaka kumi,wamfanyie full body check up.Hawa ni wachezaji waliokuwepo ndiyo picha zilitolewa, na hao hawahitaji hiyo deep physical checkup maana walikuwa na timu hata miezi miwili tu haijapita. Hakuna picha ya mchezaji mpya zilitolewa akifanyiwa checkup. Pia una uhakika vifaa vyote vinavyotumika huko nje vipo katika taasisi zetu za afya maana unasema timu hazitumii professionals wakati hapo alipo Kapombe ni Hospitali ya Muhimbili.
Tuma na picha za AZAM au na wao unawatuhumu kwa hilo?
Hata Simba wachezaji wote hata kina Kyombo waliokuja kuachwa walipelekwaAzam watoe hapo
Walileta full squad View attachment 2703126
Kwani unadhani hizo timu za nje wanaangalia nini? Si ni hayo hayo tu mambo kama afya ya moyo wako. Hivyo ndiyo vitu vya kupeleka watu South Africa? Ungetoa ushauri zianzishwe taasisi za afya zilizojikita kwenye mambo ya michezo ningekuelewa ila unachosema hakileti mantiki.Mchezaji una msajili kwa mamilioni ya shilingi, ila unaweza ukakuta gharama tu za kumsafirisha hapo South Africa kwenye maproffesional wazuri wa kiafya hazizidi hata milioni tano mpaka kumi,wamfanyie full body check up.
Unatumia mamilioni ya shillingi kwenye kufanya usajili ila unashindwa kuwekeza mazingira ya kukihakiki himo unacho kisajili.
Haya Sasa hivi Sawadogo na Bigirimana wanazidai club zao mamilioni ya shillingi, ila kama wange wafanyia wachezaji full body check wange okoa hela na nyingi sana kwa faida ya club.
Sawa kwetu hatuna hao maproffesional na vifaa ila hapo South wapo kibao na vifaa vipo.
kuhusu Azam na Yanga sikuwaona wakiwa check afya wachezaji wao,ila mlicho fanya nyinyi hata ukienda kwenye hospital hizi kubwa hasa za private kabla ya kumuona daktari lazima wavicheki (presha,joto na uzito) ,ambapo naona havina maana kwa mchezaji anayetakiwa kusajiliwa na club.
Nilicho kiongea kwenye comment yangu ya kwanza nimezigusa club zote.
Sawa kalipwa,Je Kalipwa kwa kazi gani? Kaitumia club kama vile mlivyo tarajia? Huoni kama Simba imeumia,vp kama gharama zake zingetumika kumleta mchezaji mwingine ambaye yupo fiti kiafya ,hauoni kama angesaidia kitu kwa msimu uliopita.Kwani unadhani hizo timu za nje wanaangalia nini? Si ni hayo hayo tu mambo kama afya ya moyo wako. Hivyo ndiyo vitu vya kupeleka watu South Africa? Ungetoa ushauri zianzishwe taasisi za afya zilizojikita kwenye mambo ya michezo ningekuelewa ila unachosema hakileti mantiki.
Sawadogo alishalipwa, usimuweke kisa tu unataka ubalance mambo kwa kuwa Bigirimana bado anadai pesa zake.
Unapotaka kununua mchezaji, mahesabu ya thamani yake yanajumuisha mambo mengi. Unaweza kumchukua mchezaji ambaye kiwango chake hivi karibuni kimeshuka au alikuwa na matatizo ya kiafya lakini unajua akikaa sawa kuna vitu atakupa. Ndiyo maana wachezaji hao bado wanapata timu na hii ni kwa duniani kote.Sawa kalipwa,Je Kalipwa kwa kazi gani? Kaitumia club kama vile mlivyo tarajia? Huoni kama Simba imeumia,vp kama gharama zake zingetumika kumleta mchezaji mwingine ambaye yupo fiti kiafya ,hauoni kama angesaidia kitu kwa msimu uliopita.
Tatizo lako kila kitu unakileta kwenye usima na uyanga.
Haya kipa huyo kisha saini mkataba wa miaka miwili, wewe unazani hapo nani anaumia kama mkivunja mkataba?
Kuhusu kuanzisha taasisi kwa sasa uwezo huo hatuna ,so tukitafuta jinsi ya kuanza polepole kutengeneza hizo taasisi na kuwa na vifaa vyote. Ila kwa kuanzia tunaweza kwenda South hapo kwa ajili ya kuwacheck wachezaji wetu hasa hawa wapya tunao wasajili.
Hoja yangu imejikita katika kuokoa fedha za club ,kwani huyo kipa akivunja mkataba anaondoka na mamilioni ya shillingi wakati bado hajaitumikia club.
Nimekuuliza pia wewe unadhani hiyo checkup inayofanywa kwa wachezaji inahusisha kuangalia nini maana umebeza kile ulichoona Simba wamefanya?Sawa kalipwa,Je Kalipwa kwa kazi gani? Kaitumia club kama vile mlivyo tarajia? Huoni kama Simba imeumia,vp kama gharama zake zingetumika kumleta mchezaji mwingine ambaye yupo fiti kiafya ,hauoni kama angesaidia kitu kwa msimu uliopita.
Tatizo lako kila kitu unakileta kwenye usima na uyanga.
Haya kipa huyo kisha saini mkataba wa miaka miwili, wewe unazani hapo nani anaumia kama mkivunja mkataba?
Kuhusu kuanzisha taasisi kwa sasa uwezo huo hatuna ,so tukitafuta jinsi ya kuanza polepole kutengeneza hizo taasisi na kuwa na vifaa vyote. Ila kwa kuanzia tunaweza kwenda South hapo kwa ajili ya kuwacheck wachezaji wetu hasa hawa wapya tunao wasajili.
Hoja yangu imejikita katika kuokoa fedha za club ,kwani huyo kipa akivunja mkataba anaondoka na mamilioni ya shillingi wakati bado hajaitumikia club.
Nope Mane moja ya sababu iliyo mfanywa aachwe ,hayupo kwenye mpango wa kocha na pili ule ugomvi wake na Sane umechangia jamaa kuwekwa sokoni na bado huko alipo enda kabla hajasajiliwa kapimwa afya full body checkup na ndio maana kasaini mkataba na timu yake mpya.Unapotaka kununua mchezaji, mahesabu ya thamani yake yanajumuisha mambo mengi. Unaweza kumchukua mchezaji ambaye kiwango chake hivi karibuni kimeshuka au alikuwa na matatizo ya kiafya lakini unajua akikaa sawa kuna vitu atakupa. Ndiyo maana wachezaji hao bado wanapata timu na hii ni kwa duniani kote.
Biashara ya mpira hasa ununuzi wa wachezaji una risk zake. Wachezaji wangapi wamenunuliwa kwa gharama kubwa na wameshindwa kutoa kile walichotegemewa? Bayern Munich wanaachana na Sadio Mane baada ya kumnunua kwa gharama kubwa na sidhani kama unaamini wamerudisha pesa zao. Unadhani sababu ni kuwa afya yake ni mgogoro?
Nimekuuliza pia wewe unadhani hiyo checkup inayofanywa kwa wachezaji inahusisha kuangalia nini maana umebeza kile ulichoona Simba wamefanya?
Nimekuomba pia picha za Azam.