Simba warudia tena kosa lingine kwenye usajili

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2020
Posts
8,542
Reaction score
18,340
Simba ni sikio la kufa.

Nilimtumia Email Kajula.

Nilimuonya kutosajili wachezaji Nje ya Africa. Nikaambatanisha na mifano.

1. Dejan.
2. Santos.
3. Wilker Da silver.
4. Fraga.

Lakini wapi. Leo aibu imewapata.

Baada ya kuachana na huyo Arison Beker wa mchongo wanarudia tena kosa kwenda Brazil.

KWA MTINDO HUU WA USAJILI MSITEGEMEE KUFIKA NUSU FAINALI WALA FAINALI

364175099_287328757315987_1224256854625911477_n.webp.jpg

HAKUNA SCOUT NI GELESHA.
 
Hivi ktk hawa wachezaji wote walio sajiliwa wamefanyiwa ila body check up kiundani zaidi......?. au ndio vile tumewakagua kwa macho.

Hili swali ni muhimu kwani kila timu inatakiwa kujiuliza.Nayaona ya Sawadogo na Bigirimana ya kijirudia,timu zimejaa viongozi wahuni.
Ingia katika mtandao wa Simba, kabla ya pre-season wachezaji wote walichekiwa na picha zilipostiwa. Kama wachezaji waliokuwepo walifanyia checkup, unadhani wapya itakuwaje? Mazoezi ya uwanjani ya kumjaribu mchezaji hata Yanga wenyewe hawafanyi na nilichokiona kule Uturuki makipa ndiyo wanapigishwa matizi magumu kuliko wachezaji wengine.
 
Simba ni SIKIO la kufa.

Nilimtumia Email KAJULA.

Nilimuonya kutosajili wachezaji Nje ya Africa.
Nikaambatanisha na mifano.

1. Dejan.
2. Santos.
3. Wilker Da silver.
4. Falager.

Lakini wapi.
LEO AIBU IMEWAPATA.

Baada ya KUACHANA na huyo Arison Beker WA MCHONGO wanarudi Tena KOSA kwenda Brazil.

KWA MTINDO HUU WA USAJILI MSITEGEMEE KUFIKA NUSU FAINALI WALA FAINALI

View attachment 2703114

View attachment 2703114

HAKUNA SCAUT NI GELESHA.
Mbona unamwandama sana Fraga wakati Kila mwanamsimbazi anatamani arudi/
 
Ingia katika mtandao wa Simba, kabla ya pre-season wachezaji wote walichekiwa na picha zilipostiwa. Kama wachezaji waliokuwepo walifanyia checkup, unadhani wapya itakuwaje? Mazoezi ya uwanjani ya kumjaribu mchezaji hata Yanga wenyewe hawafanyi na nilichokiona kule Uturuki makipa ndiyo wanapigishwa matizi magumu kuliko wachezaji wengine.
Check nazo zingumzia mimi ni kama hizi.
gettyimages-815928368-594x594.jpg

images (70).jpeg

Wenzetu mchezaji kabla hawaja msainisha mkataba wanamcheki afya kiundani zaidi.Ziyech mchezaji wa Chelsea alitakiwa kusajiliwa uarabuni, ila aligota kwenye vipimo vya afya. Ila si Simba,Yanga wala Azam ambao huwafanyia wachezaji wapya,full body check kabla ya kuwasainisha mkataba.

Sisi huku vipimo tuvifanyavyo hata ww ukiumwa unafanyiwa,ukienda pale hospitalini,watapima uzito,presha na joto ndicho mlicho kifanya kwa wachezaji wenu wapya na wazamani.
727E5FC4-1C6F-4AD2-8139-1E6F25A2555B.jpeg

Tunaona ubahili kuwatumia maprofessional wazuri wa afya na vifaa vya kisasa,baadae mchezaji anakuja kuigharimu timu kwenye kumtibia na kwenye kuvunja mkataba.
 
Hivi ktk hawa wachezaji wote walio sajiliwa wamefanyiwa ila body check up kiundani zaidi......?. au ndio vile tumewakagua kwa macho.

Hili swali ni muhimu kwani kila timu inatakiwa kujiuliza.Nayaona ya Sawadogo na Bigirimana ya kijirudia,timu zimejaa viongozi wahuni.
Sasa kama wachezaji wenyewe wanasainishwa airport
Hivyo vipimo vinafanyikia wapi mkuu?
 
Check nazo zingumzia mimi ni kama hizi.
View attachment 2703118

View attachment 2703119

Wenzetu mchezaji kabla hawaja msainisha mkataba wanamcheki afya kiundani zaidi.Ziyech mchezaji wa Chelsea alitakiwa kusajiliwa uarabuni, ila aligota kwenye vipimo vya afya. Ila si Simba,Yanga wala Azam ambao huwafanyia wachezaji wapya,full body check kabla ya kuwasainisha mkataba.

Sisi huku vipimo tuvifanyavyo hata ww ukiumwa unafanyiwa,ukienda pale hospitalini,watapima uzito,presha na joto ndicho mlicho kifanya kwa wachezaji wenu wapya na wazamani.
View attachment 2703120
Tunaona ubahili kuwatumia maprofessional wazuri wa afya na vifaa vya kisasa,baadae mchezaji anakuja kuigharimu timu kwenye kumtibia na kwenye kuvunja mkataba.
Hawa ni wachezaji waliokuwepo ndiyo picha zilitolewa, na hao hawahitaji hiyo deep physical checkup maana walikuwa na timu hata miezi miwili tu haijapita. Hakuna picha ya mchezaji mpya zilitolewa akifanyiwa checkup. Pia una uhakika vifaa vyote vinavyotumika huko nje vipo katika taasisi zetu za afya maana unasema timu hazitumii professionals wakati hapo alipo Kapombe ni Hospitali ya Muhimbili.

Tuma na picha za AZAM au na wao unawatuhumu kwa hilo?
 
Mchezaji una msajili kwa mamilioni ya shilingi, ila unaweza ukakuta gharama tu za kumsafirisha hapo South Africa kwenye maproffesional wazuri wa kiafya hazizidi hata milioni tano mpaka kumi,wamfanyie full body check up.

Unatumia mamilioni ya shillingi kwenye kufanya usajili ila unashindwa kuwekeza mazingira ya kukihakiki himo unacho kisajili.

Haya Sasa hivi Sawadogo na Bigirimana wanazidai club zao mamilioni ya shillingi, ila kama wange wafanyia wachezaji full body check wange okoa hela nyingi sana kwa faida ya club.

Sawa kwetu hatuna hao maproffesional na vifaa ila hapo South wapo kibao na vifaa vipo.

kuhusu Azam na Yanga sikuwaona wakiwa check afya wachezaji wao,ila mlicho fanya nyinyi hata ukienda kwenye hospital hizi kubwa hasa za private kabla ya kumuona daktari lazima wavicheki (presha,joto na uzito) ,ambapo naona havina maana kwa mchezaji anayetakiwa kusajiliwa na club.

Nilicho kiongea kwenye comment yangu ya kwanza nimezigusa club zote.
 
Mchezaji una msajili kwa mamilioni ya shilingi, ila unaweza ukakuta gharama tu za kumsafirisha hapo South Africa kwenye maproffesional wazuri wa kiafya hazizidi hata milioni tano mpaka kumi,wamfanyie full body check up.

Unatumia mamilioni ya shillingi kwenye kufanya usajili ila unashindwa kuwekeza mazingira ya kukihakiki himo unacho kisajili.

Haya Sasa hivi Sawadogo na Bigirimana wanazidai club zao mamilioni ya shillingi, ila kama wange wafanyia wachezaji full body check wange okoa hela na nyingi sana kwa faida ya club.

Sawa kwetu hatuna hao maproffesional na vifaa ila hapo South wapo kibao na vifaa vipo.

kuhusu Azam na Yanga sikuwaona wakiwa check afya wachezaji wao,ila mlicho fanya nyinyi hata ukienda kwenye hospital hizi kubwa hasa za private kabla ya kumuona daktari lazima wavicheki (presha,joto na uzito) ,ambapo naona havina maana kwa mchezaji anayetakiwa kusajiliwa na club.

Nilicho kiongea kwenye comment yangu ya kwanza nimezigusa club zote.
Kwani unadhani hizo timu za nje wanaangalia nini? Si ni hayo hayo tu mambo kama afya ya moyo wako. Hivyo ndiyo vitu vya kupeleka watu South Africa? Ungetoa ushauri zianzishwe taasisi za afya zilizojikita kwenye mambo ya michezo ningekuelewa ila unachosema hakileti mantiki.

Sawadogo alishalipwa, usimuweke kisa tu unataka ubalance mambo kwa kuwa Bigirimana bado anadai pesa zake.
 
Sawa kalipwa,Je Kalipwa kwa kazi gani? Kaitumia club kama vile mlivyo tarajia? Huoni kama Simba imeumia,vp kama gharama zake zingetumika kumleta mchezaji mwingine ambaye yupo fiti kiafya ,hauoni kama angesaidia kitu kwa msimu uliopita.

Tatizo lako kila kitu unakileta kwenye usima na uyanga.

Haya kipa huyo kisha saini mkataba wa miaka miwili, wewe unazani hapo nani anaumia kama mkivunja mkataba?

Kuhusu kuanzisha taasisi kwa sasa uwezo huo hatuna ,so tukitafuta jinsi ya kuanza polepole kutengeneza hizo taasisi na kuwa na vifaa vyote. Ila kwa kuanzia tunaweza kwenda South hapo kwa ajili ya kuwacheck wachezaji wetu hasa hawa wapya tunao wasajili.

Hoja yangu imejikita katika kuokoa fedha za club ,kwani huyo kipa akivunja mkataba anaondoka na mamilioni ya shillingi wakati bado hajaitumikia club.
 
Unapotaka kununua mchezaji, mahesabu ya thamani yake yanajumuisha mambo mengi. Unaweza kumchukua mchezaji ambaye kiwango chake hivi karibuni kimeshuka au alikuwa na matatizo ya kiafya lakini unajua akikaa sawa kuna vitu atakupa. Ndiyo maana wachezaji hao bado wanapata timu na hii ni kwa duniani kote.

Biashara ya mpira hasa ununuzi wa wachezaji una risk zake. Wachezaji wangapi wakiwa kwenye viwango na hizo physical checkup walifanyiwa na wamenunuliwa kwa gharama kubwa ila wameshindwa kutoa kile walichotegemewa? Bayern Munich wanaachana na Sadio Mane baada ya kumnunua kwa gharama kubwa na sidhani kama unaamini wamerudisha pesa zao. Unadhani sababu ni kuwa afya yake ni mgogoro?
 
Sawa kalipwa,Je Kalipwa kwa kazi gani? Kaitumia club kama vile mlivyo tarajia? Huoni kama Simba imeumia,vp kama gharama zake zingetumika kumleta mchezaji mwingine ambaye yupo fiti kiafya ,hauoni kama angesaidia kitu kwa msimu uliopita.

Tatizo lako kila kitu unakileta kwenye usima na uyanga.

Haya kipa huyo kisha saini mkataba wa miaka miwili, wewe unazani hapo nani anaumia kama mkivunja mkataba?

Kuhusu kuanzisha taasisi kwa sasa uwezo huo hatuna ,so tukitafuta jinsi ya kuanza polepole kutengeneza hizo taasisi na kuwa na vifaa vyote. Ila kwa kuanzia tunaweza kwenda South hapo kwa ajili ya kuwacheck wachezaji wetu hasa hawa wapya tunao wasajili.

Hoja yangu imejikita katika kuokoa fedha za club ,kwani huyo kipa akivunja mkataba anaondoka na mamilioni ya shillingi wakati bado hajaitumikia club.
Nimekuuliza pia wewe unadhani hiyo checkup inayofanywa kwa wachezaji inahusisha kuangalia nini maana umebeza kile ulichoona Simba wamefanya?

Nimekuomba pia picha za Azam.
 
Unapotaka kununua mchezaji, mahesabu ya thamani yake yanajumuisha mambo mengi. Unaweza kumchukua mchezaji ambaye kiwango chake hivi karibuni kimeshuka au alikuwa na matatizo ya kiafya lakini unajua akikaa sawa kuna vitu atakupa. Ndiyo maana wachezaji hao bado wanapata timu na hii ni kwa duniani kote.

Biashara ya mpira hasa ununuzi wa wachezaji una risk zake. Wachezaji wangapi wamenunuliwa kwa gharama kubwa na wameshindwa kutoa kile walichotegemewa? Bayern Munich wanaachana na Sadio Mane baada ya kumnunua kwa gharama kubwa na sidhani kama unaamini wamerudisha pesa zao. Unadhani sababu ni kuwa afya yake ni mgogoro?
Nope Mane moja ya sababu iliyo mfanywa aachwe ,hayupo kwenye mpango wa kocha na pili ule ugomvi wake na Sane umechangia jamaa kuwekwa sokoni na bado huko alipo enda kabla hajasajiliwa kapimwa afya full body checkup na ndio maana kasaini mkataba na timu yake mpya.

Hicho ulicho kizungumza kipo hata kwa Jack Wilshare alivyo rudi Arsenal waliingia Contract, ila walikuwa wanamtizama utimamu wake wa kimwili,then ndio waingie full contract na mchezaji.

Ila huku kwetu sisi hatuna hii na ndio maana timu zetu kupitia wahuni wa hizi club wanatupiga kila siku,kwa kutuletea vimeo.
 
Nimekuuliza pia wewe unadhani hiyo checkup inayofanywa kwa wachezaji inahusisha kuangalia nini maana umebeza kile ulichoona Simba wamefanya?

Nimekuomba pia picha za Azam.

Mbona nilisha kujibu.

"......kuhusu Azam na Yanga sikuwaona wakiwa check afya wachezaji wao,ila mlicho fanya nyinyi hata ukienda kwenye hospital hizi kubwa hasa za private kabla ya kumuona daktari lazima wavicheki (presha,joto na uzito) ,ambapo naona havina maana kwa mchezaji anayetakiwa kusajiliwa na club......."

Sio mtaalamu wa Afya ila unaweza kuangalia hapa, vitu wanavyo vicheck.

"
The first part of the medical will be undertaken by the club doctor, who will ascertain the player's medical history during the subjective examination. In the case of a foreign player, it may be necessary for the player's agent and/or interpreter to be present.

The club doctor will check for any previous significant illnesses and ask if the player has had any operations in the past. In addition, the doctor will check the family history of the player, which may be indicative of hereditary conditions.

Apart from major illnesses or operations, the doctor will check for past sporting injuries, which should be recorded in the player's medical file, made available by the selling club. This will give a picture of how often the player has missed training or matches and if the player has had any recurrent injuries such as hamstring strains or ankle sprains.
The subjective examination is followed by a thorough physical examination of all muscles and joints. The doctor and physiotherapist will assess the range of motion in each joint and compare it with the normal values. Some football clubs use isokinetic devices which give an indication of muscle strength. Some conditions can reveal themselves due to characteristic readouts from this machine.

The findings of the subjective and objective examinations will lead the doctor to order more specific diagnostic tests if required.

If a problem arises, it may be necessary to refer the player on to a consultant, who can assess the player and advise the buying club on his medical status and prognosis. These supposedly routine examinations take three days, since the buying club must arrange for the player to see the consultant and have diagnostic tests at very short notice."

Nadhani ukisoma hayo maelezo ndipo utajua wenzetu wapo serious hasa kwenye rasilimali za club.
 
Back
Top Bottom