Wamesama eti hawachezi Hadi GSM aache kudhamini timu zaidi ya moja za NBC premier leagueWamesema hawachezi
Vyuo vya certificates kwa waliofeli form four vifunguliwe tu tena haraka ili mpungue humu JFZaaaaa ndaniii kabisa ni kwamba makolo wamepima kina cha maji wameona watazama tena, hivyo wametafuta kila aina ya sababu ya kukimbia ngao ya jamii na wameipata
Kwahiyo wamesema tarehe 16 watasepa season 2 hawaleti team
Simba acheni uoga leten team tukipige
Walisepa 16.9.2025
LONDON BOY
Mnaleta timu, hamleti?Siyo kila mtu anaiwaza Yanga kila wakati, watu wana malengo makubwa zaidi. Kachezeni na Singida.
Yanga wanaiwaza Simba.Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Zaaaaa ndaniii kabisa ni kwamba makolo wamepima kina cha maji wameona watazama tena, hivyo wametafuta kila aina ya sababu ya kukimbia ngao ya jamii na wameipata
Kwahiyo wamesema tarehe 16 watasepa season 2 hawaleti team
Simba acheni uoga leten team tukipige
Walisepa 16.9.2025
LONDON BOY
We unamatatizo ya afya ya akiliSiyo kila mtu anaiwaza Yanga kila wakati, watu wana malengo makubwa zaidi. Kachezeni na Singida.
Tembea na certificate hii hapa chini..!!Vyuo vya certificates kwa waliofeli form four vifunguliwe tu tena haraka ili mpungue humu JF
Tutaleta tarehe itakayotajwa na TFFMnaleta timu, hamleti?
Mbona mwamed alipozamini zaidi ya moja hawakusema hawacheziWamesa eti hawachezi Hadi GSM aache kudhamini timu zaidi ya moja za NBC premier league
Simba na Yanga wazee wa kudeka, mambo hayo wamesababisha hao wenyewe TFF na bodi ya ligi kipindi kile. Sasa wanapandwa vichwani na timu za Kariakoo
Mnaogopa kufungwa mara ya 6 mfululizoSiyo kila mtu anaiwaza Yanga kila wakati, watu wana malengo makubwa zaidi. Kachezeni na Singida.
Wametaja tarehe 16 Septemba 2025..!!Tutaleta tarehe itakayotajwa na TFF