Tetesi: Simba wasema hawatacheza ngao ya jamii tarehe 16 walisepa season 2, hatuchez season 2

Tetesi: Simba wasema hawatacheza ngao ya jamii tarehe 16 walisepa season 2, hatuchez season 2

Hata kama mechi ingepangwa mapema hao simba wangetafuta tu sababu.
Hahaha huu ni uongo.
Simba wana inferiority complex mbele ya yanga. linapokuja suala la kucheza na yanga kwa sasa simba akili yao inaweweseka.
Hahaha, Boss sisi Simba wengine hatupendelei Yanga awe kipaumbele, kuna malengo makubwa Africa ya kuyafikia, tungeweza kuzifuta hizi mechi na Yanga tungezifuta maana zinatuamisha focus na siasa zake, ni vile tu kuna wenzetu si waelewa, wao wanataka tumuweke Yanga kama kipaumbele na tumfunge.
 
Siasa tu hizo. Yanga kakuzidi uwezo uwanjani ndio maana unamkimbia game ya pili sasa hivi. Enzi za yanga kutembeza bakuli la michango simba mlikuwepo uko CAF na hamkuwahi kukimbia derby, ni kwa sababu yanga alikua dhaifu
 
Basi keshokutwa ngoja tukukande ili uamini kuwa huogopwi.
 
Tumewaambia TFF haya matamasha hayana ulazima wowote kipigwe hapo kati
 
Simba baada ya kusikia mechi ya ngao ya Jamii inakuja

1756345956346.png
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Zaaaaa ndaniii kabisa ni kwamba makolo wamepima kina cha maji wameona watazama tena, hivyo wametafuta kila aina ya sababu ya kukimbia ngao ya jamii na wameipata

Kwahiyo wamesema tarehe 16 watasepa season 2 hawaleti team

Simba acheni uoga leten team tukipige

Walisepa 16.9.2025

LONDON BOY
Haha haaaaaaaaaaaa..
 
Back
Top Bottom