Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
😃😃😃Kwanini tarehe zipangwe kama vile kuna ugumu wa ratiba ilihali haupo?
Binafsi naiunga mkono Simba iwapo itaona hiyo tarehe haifai na ni hatari kwa fitness au saikolojia sababu zipo tarehe nyingine kabla ya hiyo tarehe. Hoja ya kuna siku mbili za kupumzika haina mashiko sababu zinahitajika siku tatu na sio kwamba ratiba ipo tight, hapana. Hayo ya wanasiasa ni yenu mkuu. Hahaha.