Mazingira ya sawa,wewe unazani UEFA timu zinasafiri km ngapi? Hapo taifa na kwenu Msimbazi/Bunju kuna umbali gani? Kwanza kwa timu Kkoo za Kkoo ndio zinaongozwa kubebwa, mfano msimu wa juzi tu wewe ulihairisha mechi masaa mawili kabla ya mechi kuanza na Kagera Sugar ,huku ukitoa sababu ya kwamba timu ina majeruhi wengi, juzi umegoma kwa sababu ya kijinga halafu unasema hamna Fairness,mfano hivi ulivyo vifanya angevifanya Azam/Kagera/JKT unazani wangepewa upendeleo kama uliopewa wewe? Halafu unasema hamna Fairness.