Tetesi: Simba wasema hawatacheza ngao ya jamii tarehe 16 walisepa season 2, hatuchez season 2

HOJA ZANGU ZA USHAURI KWA VILABU VYOTE (SIMBA & YANGA) PAMOJA NA TFF

1.
Binafsi nawaunga Simba mkono kwasababu hii Michuano ya kimataifa huwa Haina mchekea,unaweza kupuuzia ukajikuta huingii hatua ya Makundi,Simba wanauelewa na kufahamu utamu wa Michuano ya kimataifa,hivyo wanaelewa wanachokisema!

2.Napendekeza vilabu vyote viwili (Simba & Yanga) vikubaliane kufuta matamasha Yao,yaani Kusiwepo na Simba day pamoja na Siku ya Mwananchi!

Kwanini iwe hivyo?

Simba wao walipendekeza Simba day ifanyike Tarehe 10.9.2025,ambapo Yanga wao walipendekeza Tamasha lao la Siku ya Mwananchi iwe Tarehe 12.9.2025

Tff wao wakatoa ratiba ya kwamba,Ngao ya Jamii itachezwa Tarehe 16.9.2025

Sote tunaelewa ya kwamba,mechi ya Simba na Yanga huwa inatumika nguvu kubwa mno upande wa Physical fitness Kwa wachezaji,na baada ya mechi yeyote atakayefungwa ataendelea kusimangwa na kuzodolewa na wapinzani wake kiasi kwamba kupelekea "Uenda" Kuwa na mwanzo mbaya wa kimashindano!

Endapo Simba akifungwa na Yanga Kwa mara ya sita mfululizo anaweza asiwe na mwanzo mzuri na pengine kupelekea kuamsha hasira za mashabiki wake,hivyo Hali unaweza isiwe nzuri Kwa upande wao!

Yanga nao Endapo wakipokea kipigo kutoka Kwa watani wao,unaweza pelekea mashabiki wao Kuanzisha minong'ono ya kwamba huyo kocha mpya hafai na aondolewa mapema,hivyo kupelekea Kuwa na mwanzo mbaya ambao utapelekea kufanya vibaya ndani na kimataifa

Haya mambo hayapaswi kupuuzwa!

NINI KIFAMYIKE?

Binafsi nadhani Tff wakutane na Viongozi wa hivi Vilabu viwili Kwa busara wawashauri hayo matamasha Yao mwaka huu yasiwepo Ili Tarehe 10.9.2025 itangazwe rasmi ndiyo itakuwa siku ya mchezo wa Ngao ya Jamii,Ili baada ya hapo kuzipa Fursa hizo timu kujiandaa na mechi zao za kimataifa (Lakini bado tunarudi palepale,Endapo timu moja ikipoteza dhidi ya mwenzie inaweza kuondoa utulivu ndani ya timu husika)

Lakini wazo au pendekezo lingine ni kwamba,Tff mwaka huu waone busara kuifuta Ngao ya Jamii kwasababu hata isipokuwepo hakuna madhara na wapenda michezo watawaelewa!,Hii ni kuzipa hizi timu muda wa kujiandaa na michezo ya awali ya kimataifa Ili kufuzu Makundi,na kama Kuna timu haitafuzu Makundi kusiwepo na kisiangizio ambacho kitapeleka lawama TFF Ili ionekane waliipendelea timu fulani !

Huo ndiyo ushauri wangu wa Simba & Yanga pamoja na TFF!
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Zaaaaa ndaniii kabisa ni kwamba makolo wamepima kina cha maji wameona watazama tena, hivyo wametafuta kila aina ya sababu ya kukimbia ngao ya jamii na wameipata

Kwahiyo wamesema tarehe 16 watasepa season 2 hawaleti team

Simba acheni uoga leten team tukipige

Walisepa 16.9.2025

LONDON BOY
Yanga msiwasikilize hao viumbe,wanachotaka ni kufanya shambulio la kustukiza.
 
Wazo zuri sana
 
Mzazi ukishindwa kulea watoa wako wote kwa haki na usawa basi haya matunda yake. Simba na Yanga zinajifanya zipo juu ya sheria ya kujipangia wakati wakina JKT wanafanywa wawe watiifu kwa mamlaka.
Hii itazua balaa siku si nyingi
 
HOJA ZANGU ZA USHAURI KWA VILABU VYOTE (SIMBA & YANGA) PAMOJA NA TFF

1.
Binafsi nawaunga Simba mkono kwasababu hii Michuano ya kimataifa huwa Haina mchekea,unaweza kupuuzia ukajikuta huingii hatua ya Makundi,Simba wanauelewa na kufahamu utamu wa Michuano ya kimataifa,hivyo wanaelewa wanachokisema!

2.Napendekeza vilabu vyote viwili (Simba & Yanga) vikubaliane kufuta matamasha Yao,yaani Kusiwepo na Simba day pamoja na Siku ya Mwananchi!

Kwanini iwe hivyo?

Simba wao walipendekeza Simba day ifanyike Tarehe 10.9.2025,ambapo Yanga wao walipendekeza Tamasha lao la Siku ya Mwananchi iwe Tarehe 12.9.2025

Tff wao wakatoa ratiba ya kwamba,Ngao ya Jamii itachezwa Tarehe 16.9.2025

Sote tunaelewa ya kwamba,mechi ya Simba na Yanga huwa inatumika nguvu kubwa mno upande wa Physical fitness Kwa wachezaji,na baada ya mechi yeyote atakayefungwa ataendelea kusimangwa na kuzodolewa na wapinzani wake kiasi kwamba kupelekea "Uenda" Kuwa na mwanzo mbaya wa kimashindano!

Endapo Simba akifungwa na Yanga Kwa mara ya sita mfululizo anaweza asiwe na mwanzo mzuri na pengine kupelekea kuamsha hasira za mashabiki wake,hivyo Hali unaweza isiwe nzuri Kwa upande wao!

Yanga nao Endapo wakipokea kipigo kutoka Kwa watani wao,unaweza pelekea mashabiki wao Kuanzisha minong'ono ya kwamba huyo kocha mpya hafai na aondolewa mapema,hivyo kupelekea Kuwa na mwanzo mbaya ambao utapelekea kufanya vibaya ndani na kimataifa

Haya mambo hayapaswi kupuuzwa!

NINI KIFAMYIKE?

Binafsi nadhani Tff wakutane na Viongozi wa hivi Vilabu viwili Kwa busara wawashauri hayo matamasha Yao mwaka huu yasiwepo Ili Tarehe 10.9.2025 itangazwe rasmi ndiyo itakuwa siku ya mchezo wa Ngao ya Jamii,Ili baada ya hapo kuzipa Fursa hizo timu kujiandaa na mechi zao za kimataifa (Lakini bado tunarudi palepale,Endapo timu moja ikipoteza dhidi ya mwenzie inaweza kuondoa utulivu ndani ya timu husika)

Lakini wazo au pendekezo lingine ni kwamba,Tff mwaka huu waone busara kuifuta Ngao ya Jamii kwasababu hata isipokuwepo hakuna madhara na wapenda michezo watawaelewa!,Hii ni kuzipa hizi timu muda wa kujiandaa na michezo ya awali ya kimataifa Ili kufuzu Makundi,na kama Kuna timu haitafuzu Makundi kusiwepo na kisiangizio ambacho kitapeleka lawama TFF Ili ionekane waliipendelea timu fulani !

Huo ndiyo ushauri wangu wa Simba & Yanga pamoja na TFF!
Ratiba ibaki kama ilivyo na mechi zote zichezwe. Simba na yanga wana vikosi vipana ambavyo vinaweza kutoa timu mbili tofauti na bado kukawa na sub nje, kwaiyo makocha wataamua wapange wachezaji gani kutegemeana na umuhimu wa mechi.

Kuahilisha mechi kwa kuogopa consequences zitakazojitokeza timu moja ikifungwa ni sababu nyepesi sana, maana hapa hakutakua na umuhimu wa ratiba tena. Vipi zikikutana azam na kmc, tunaweza kuwapa privilege iyo ya kuahilisha mechi?
 
Una hoja usikilizwe mura...
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Zaaaaa ndaniii kabisa ni kwamba makolo wamepima kina cha maji wameona watazama tena, hivyo wametafuta kila aina ya sababu ya kukimbia ngao ya jamii na wameipata

Kwahiyo wamesema tarehe 16 watasepa season 2 hawaleti team

Simba acheni uoga leten team tukipige

Walisepa 16.9.2025

LONDON BOY
1756301488748.png
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Yaani mechi moja wachezaji wawe na fatigue, kudekezezana ligi hata haija changanya na Botswana ni hapo tu.
 
Ratiba ibaki kama ilivyo na mechi zote zichezwe. Simba na yanga wana vikosi vipana ambavyo vinaweza kutoa timu mbili tofauti na bado kukawa na sub nje, kwaiyo makocha wataamua wapange wachezaji gani kutegemeana na umuhimu wa mechi.

Kuahilisha mechi kwa kuogopa consequences zitakazojitokeza timu moja ikifungwa ni sababu nyepesi sana, maana hapa hakutakua na umuhimu wa ratiba tena. Vipi zikikutana azam na kmc, tunaweza kuwapa privilege iyo ya kuahilisha mechi?
Azam au KMC Wana haki ya kutoa mapendekezo pia iwapo wanashiriki mechi za kimataifa na wamepangiwa ratiba ngumu,

Ila kama unataka hili litokee na TFF Ikalazimisha kama unavyopendekeza basi Simba iingize hata timu ya vijana kucheza na Yanga iwapo inaona ipo hatari ya fitness kuelekea mechi inayofuata yenye umuhimu zaidi, otherwise kufanyike twist ya ratiba iwe tarehe 15.
 
Yaani mechi moja wachezaji wawe na fatigue, kudekezezana ligi hata haija changanya na Botswana ni hapo tu.
Kwani kwanini mechi ipangwe tarehe ambazo zinahatarisha kutokufanya vizuri kwa timu nyingine kwenye mechi inayofata? Si waweke hata tarehe 15, 14 nyuma?
 
Azam au KMC Wana haki ya kutoa mapendekezo pia iwapo wanashiriki mechi za kimataifa na wamepangiwa ratiba ngumu,

Ila kama unataka hili litokee na TFF Ikalazimisha kama unavyopendekeza basi Simba iingize hata timu ya vijana kucheza na Yanga iwapo inaona ipo hatari ya fitness kuelekea mechi inayofuata yenye umuhimu zaidi, otherwise kufanyike twist ya ratiba iwe tarehe 15.
Game zote zipigwe. Makocha wapange vikosi vyao kwa kuangalia umuhimu wa mechi. Hizo mechi mbili za matamasha yao na ngao ya hisani sio lazima kupanga first eleven, vilevile sio lazima kuchezesha wachezaji wako tegemeo dakika 90
 
Kwani kwanini mechi ipangwe tarehe ambazo zinahatarisha kutokufanya vizuri kwa timu nyingine kwenye mechi inayofata? Si waweke hata tarehe 15, 14 nyuma?
Hamna uharibifu wowote, mnasiku mbili za kupumzika ambazo kwenye mpira zinatosha na kumbuka hiyo ni mechi ya pili ya ushindani kwenye msimu huu baada ya ngao. Hamna sababu ya msingi zaidi ya kudekezana. Watu Ulaya kwa wiki anaweza akawa na mechi Jumapili, jumatano na Jumamosi na zote yupo ugenini.
 
Game zote zipigwe. Makocha wapange vikosi vyao kwa kuangalia umuhimu wa mechi. Hizo mechi mbili za matamasha yao na ngao ya hisani sio lazima kupanga first eleven, vilevile sio lazima kuchezesha wachezaji wako tegemeo dakika 90

Kuna tarehe kabla ya tarehe pendekezwa ambazo ni salama kupanga mechi hii, mechi za matamasha zipo tarehe za nyuma huku mbali hazina hatari. Fitness haipimwi na uchezaji tu hata saikolojia ya benchi la ufundi. Mechi ya Simba na Yanga huwa ina tension si kwa wachezaji tu hata benchi la ufundi. Nguvu kubwa sana itatumika kabla na baada ya mechi, Sasa kwanini iwe lazima mechi ipangwe tarehe ambayo ni karibu na mechi nyingine muhimu ya kimataifa kama si kuhatarisha tu timu kufanya vizuri? Hizi ni timu zinatuwakilisha kama nchi, tuepuke hujuma zinazoepukika.
 
Hamna uharibifu wowote, mnasiku mbili za kupumzika ambazo kwenye mpira zinatosha na kumbuka hiyo ni mechi ya pili ya ushindani kwenye msimu huu baada ya ngao. Hamna sababu ya msingi zaidi ya kudekezana. Watu Ulaya kwa wiki anaweza akawa na mechi Jumapili, jumatano na Jumamosi na zote yupo ugenini.
Siku mbili zipi zisizohusisha maandalizi na safari? Kwanini mechi isiwe tarehe nyuma ya hapo? Kuna tatizo gani ikiwa tarehe 15 kurudi nyuma? Kitu gani cha muhimu mno kimepeleka hiyo tarehe close to mechi nyingine iwapo zipo tarehe nyingine nyuma?
 
Hamna tatizo labda kama unaliona wewe,Botswana hapo si mbali kwa ndege na bado mna siku mbili za kupumzika ambazo zinatosha.Nimesoma kwenye page ya Hans mechi itakuwa tar 20 huku ya Yanga 21,ngao tarehe 16 au mnaweza kusafiri hata usiku wa tarehe 16 ,17 mnasafiri bado mna kumi na nane na kumi na tisa.

Halafu hiyo tarehe ndio mnaiona leo?Mnatafutaga vurugu baadae muwape sifa wanasiasa, watumie maujiko kwenye kampeni zao Sometimes ligi yetu ndio maana inakuwaga na viporo vya ajabu ajabu visivyo kuwa na sababu ya msingi.
 
Kuna tarehe kabla ya tarehe pendekezwa ambazo ni salama kupanga mechi hii, mechi za matamasha zipo tarehe za nyuma huku mbali hazina hatari. Fitness haipimwi na uchezaji tu hata saikolojia ya benchi la ufundi. Mechi ya Simba na Yanga huwa ina tension si kwa wachezaji tu hata benchi la ufundi. Nguvu kubwa sana itatumika kabla na baada ya mechi, Sasa kwanini iwe lazima mechi ipangwe tarehe ambayo ni karibu na mechi nyingine muhimu ya kimataifa kama si kuhatarisha tu timu kufanya vizuri? Hizi ni timu zinatuwakilisha kama nchi, tuepuke hujuma zinazoepukika.
Hakuna kazi isiyokua na changamoto. Kama benchi la ufundi na wachezaji hawaziwezi hizo changamoto waachane na mpira wafanye kazi nyingine.
 
Hamna tatizo labda kama unaliona wewe,Botswana hapo si mbali kwa ndege na bado mna siku mbili za kupumzika ambazo zinatosha.

Halafu hiyo tarehe ndio mnaiona leo?Mnatafutaga vurugu baadae muwape sifa wanasiasa, watumie maujiko kwenye kampeni zao.
Kwanini tarehe zipangwe kama vile kuna ugumu wa ratiba ilihali haupo?

Binafsi naiunga mkono Simba iwapo itaona hiyo tarehe haifai na ni hatari kwa fitness au saikolojia sababu zipo tarehe nyingine kabla ya hiyo tarehe. Hoja ya kuna siku mbili za kupumzika haina mashiko sababu zinahitajika siku tatu na sio kwamba ratiba ipo tight, hapana. Hayo ya wanasiasa ni yenu mkuu. Hahaha.
 
Hakuna kazi isiyokua na changamoto. Kama benchi la ufundi na wachezaji hawaziwezi hizo changamoto waachane na mpira wafanye kazi nyingine.
Kwanini wapewe hizo changamoto katika mazingira ambayo changamoto hazina ulazima? Kwamba kwasababu benchi la ufundi linatakiwa kutatua changamoto ya ratiba ngumu basi wapewe ratiba ngumu hata kama hakuna huo ulazima?
 
Back
Top Bottom