Tetesi: Simba wasema hawatacheza ngao ya jamii tarehe 16 walisepa season 2, hatuchez season 2

Wakikomaa tutaleta. Lengo la kusogezwa ni kuangalia safari ya kwenda Botswana, maana Simba huwa ipo serious sana katika mechi za CAF, kuliko za humu humu nchini za siku zote
Kwani hizo kilomita 3,000 na ushee mtatembea kwa miguu??
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Zaaaaa ndaniii kabisa ni kwamba makolo wamepima kina cha maji wameona watazama tena, hivyo wametafuta kila aina ya sababu ya kukimbia ngao ya jamii na wameipata

Kwahiyo wamesema tarehe 16 watasepa season 2 hawaleti team

Simba acheni uoga leten team tukipige

Walisepa 16.9.2025

LONDON BOY
Wasijaribu na wala wasichokoze makovu Kwa TFF maana mgomo wa msimu uliopita Ulitaka kuleta kizaazaa Cha faini mpaka Ikulu ikaingilia kati
 
Priority ni muhimu, kama hii mechi na hichi chama inahatarisha fitness ya mechi inayofata ni sawa ikighairishwa. Wataalam wa fitness waseme.
 
Ila kiuhalisia Yanga ndio wana mechi ngumu zaidi kimataifa kuliko Simba.
 
Kumbe bado haya mambo ya tunacheza hatuchezi yapo...
Kama simba wana hoja...hoja yao isikilizwe
Mzazi ukishindwa kulea watoa wako wote kwa haki na usawa basi haya matunda yake. Simba na Yanga zinajifanya zipo juu ya sheria ya kujipangia wakati wakina JKT wanafanywa wawe watiifu kwa mamlaka.
 
Malengo yanatofautiana. Hili si suala la kumtazama Yanga yupoje, ni suala la malengo ya Simba.
Sawa, tuachane na hilo la Yanga. Kuna muda gani tokea ratiba ya CAF na ngao ya jamii imepangwa? Kwanini kipindi kile kile wasiandike barua mpaka kuzinduka sasa?
 
Ni masuala ya priority za utendaji tu. Kama management haipo nje ya muda kuandika barua hakuna shida.
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Zaaaaa ndaniii kabisa ni kwamba makolo wamepima kina cha maji wameona watazama tena, hivyo wametafuta kila aina ya sababu ya kukimbia ngao ya jamii na wameipata

Kwahiyo wamesema tarehe 16 watasepa season 2 hawaleti team

Simba acheni uoga leten team tukipige

Walisepa 16.9.2025

LONDON BOY
Hawajasema kuwa hawatacheza bali wameonesha wasiwasi juu ya ratiba ya mashindano ya afrika na ratiba ya hiyo ngao ya jamii
 
Kwani hizo kilomita 3,000 na ushee mtatembea kwa miguu??
Ungewahi kusafiri kwa ndege, pengine ungejua kuna wakati mtu anayetoka Dar kwenda Dubai (3970km) anaweza akafika baada ya masaa matano na nusu, halafu hapa jirani Botswana akafika baada ya masaa 12. Inategemea na route (connection) ya ndege
 
Leteni timu..!!
 
Back
Top Bottom