BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,006
Derby ya Simba na Yanga inakaribia
Najua wengisana wameichukulia upande mmoja yaan ushindi kwa Simba.
Niweke wazi Simba isijiamini sana hi mechi inaweza shangaza wengi ulimwengu wa soka
Si la kuficha upande wa kiwango watani wako juu sana sana
Ila hili lusiwayumbishe niwajulishe tu Simba na Yanga hizi mechi huchezwa nje ya uwanja
Wapowaliowahi niuliza ulijuaje, anyway dondoo ya Derby iko hivi
Mechi iko upande wa Simba kipindi cha kwanza wanayamga Wala msiiogope
kipindi cha pili Yanga itabadili muelekeo mapema sana sana
Kama Simba awatajiandaa Kabla ya mechi Basi wataenda na maji
Kama watajiweka sawa basi Drw inanukiaaa
Tena