Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trust me hii comment umeandika kinazi sanaBASIASI trust me SIMBA akishinda goli chache ni MBILI na huu si uchawi bali ni kutokana na hali halisi ya rekodi
Yanga WANAWEZA kutangulia kupata bao lakini hicho ndio kitakuwa kiama chao.
Wanashindwa kuendana na chiziUkitaka kujua manara ananyoosha uto. Walimwajiri Dismas ten wakaona hafai wakamleta bumbuli wakaona hatoshi wakamuongeza na nugaz bado kuna siku jerry muro nae kaibuka lakini wapi [emoji23][emoji23] timu ina wasemaji kibao
Hata ningekuwa mimi ndiye Hassan Bumbuli, nisingepoteza muda wangu kumkimbiza kichaa aliyechukua nguo zangu mtoni wakati naoga! Maana nitaonekana mimi ndiye kichaa badala ya yeye.Ukitaka kujua manara ananyoosha uto. Walimwajiri Dismas ten wakaona hafai wakamleta bumbuli wakaona hatoshi wakamuongeza na nugaz bado kuna siku jerry muro nae kaibuka lakini wapi [emoji23][emoji23] timu ina wasemaji kibao
Mpira umekushinda mkuu tabiri zako nyingi unaendaga chaka mbayaaaa! Poleeee endelea na lamli za siasa huko ndo angalau unaweza.BASIASI trust me SIMBA akishinda goli chache ni MBILI na huu si uchawi bali ni kutokana na hali halisi ya rekodi
Yanga WANAWEZA kutangulia kupata bao lakini hicho ndio kitakuwa kiama chao.
BASIASI trust me SIMBA akishinda goli chache ni MBILI na huu si uchawi bali ni kutokana na hali halisi ya rekodi
Yanga WANAWEZA kutangulia kupata bao lakini hicho ndio kitakuwa kiama chao.