Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee mpira huchezwa uwanjaniBASIASI trust me SIMBA akishinda goli chache ni MBILI na huu si uchawi bali ni kutokana na hali halisi ya rekodi
Yanga WANAWEZA kutangulia kupata bao lakini hicho ndio kitakuwa kiama chao.
acha kuchekea wanaumeHahahahahaaamupwaaaaaaaaa
Kimojaaaa kinarahayakeeeebanaaaaa do 90 hikohikoo
We unajua mpiraa
Juzi kati uliteswa na Azam ukaponea ujanja janjaBASIASI trust me SIMBA akishinda goli chache ni MBILI na huu si uchawi bali ni kutokana na hali halisi ya rekodi
Yanga WANAWEZA kutangulia kupata bao lakini hicho ndio kitakuwa kiama chao.
Moja tu la GiftMmeshaenda kucheki kwenye beseni tuambiane magoli mangapi yanatoka
Njoo utoe mrejesho sio wewe mkia fc mbumbumbu mzungu wa reli umefanyiwa hivyo haya fua shuka uendeeeHamna kitu hii mechi Utopolo anapigwa tatu,kipindi cha kwanza Yanga anapigwa mapeema kabisa cha asubuhi,kipindi cha pili anapigwa viwili vya chuma mboga.
Anapewa kanga yake anajifuta kisha anapewa shuka afue asepe kwao.
Tena atapigwa mapema mno mkuuHamna kitu hii mechi Utopolo anapigwa tatu,kipindi cha kwanza Yanga anapigwa mapeema kabisa cha asubuhi,kipindi cha pili anapigwa viwili vya chuma mboga.
Anapewa kanga yake anajifuta kisha anapewa shuka afue asepe kwao.
Chizi yuleWanamuelewa huyo kiumbe! Wakati Wananchi tunamuona ni mwendawazimu!!
Bro kama ni mganga sukuizi wewe ni tapeli
Mmeshikwa mkiaKigoma sijui ila kesho Yanga anakula kichapo heavy
Takataka tuYaani timu ilikupa mbeleke ya kushiriki CAF ni takataka? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]