Simba wasijiamini sana, wataaibika kwa Mkapa kwa sababu hizi

Simba wasijiamini sana, wataaibika kwa Mkapa kwa sababu hizi

Kiboko ya nani huyo mvuta bangi! Labda kiboko wa prisca Kishamba wa Clouds media. Hakuna mwananchi anayemuogopa, wala kumhofia huyu Mbulukenge wenu.
Wananch hao hao ndo wanaongoza kutoa mapovu huko mitandaoni kwamba afunguiwe
 
Wananch hao hao ndo wanaongoza kutoa mapovu huko mitandaoni kwamba afunguiwe
Ifikie wakati tuwe kama wenzetu wa dunia ya kwanza. Msemaji wa timu ni Meneje/ mwalimu/kocha wa timu.
 
Ifikie wakati tuwe kama wenzetu wa dunia ya kwanza. Msemaji wa timu ni Meneje/ mwalimu/kocha wa timu.
Kila taifa lina utamaduni wake sisi kibongo bongo ndio tuko hivo afu sio kila kitu tuinge mbona tunaenda vizuri
 
Hamna kitu hii mechi Utopolo anapigwa tatu,kipindi cha kwanza Yanga anapigwa mapeema kabisa cha asubuhi,kipindi cha pili anapigwa viwili vya chuma mboga.
Anapewa kanga yake anajifuta kisha anapewa shuka afue asepe kwao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Simba ni takataka tu kikundi cha wahuni hamnamo timu pale makelele tu na kujifanya wana pesa huku mo akiwapiga ameshindwa kuupa uwanja jina la timu!
Yaani timu ilikupa mbeleke ya kushiriki CAF ni takataka? 🤣🤣🤣
 
Hamna kitu hii mechi Utopolo anapigwa tatu,kipindi cha kwanza Yanga anapigwa mapeema kabisa cha asubuhi,kipindi cha pili anapigwa viwili vya chuma mboga.
Anapewa kanga yake anajifuta kisha anapewa shuka afue asepe kwao.
Tunza hu mkojo.tukiomba ukojoe Tena usiteseke
 
Kajifunze kwanza kuandika vizuri,ukimaliza hilo uje ulete mada bila ushabiki...kichwa cha habari nikajua kuna points kumbe ni saaansanaaa nyingi
UKIMALIZA kunya uje tukusafishe
 
NImebet kunguru wawili kuonekanauwanjani
 
Hifadhi rekodi hii
giphy.gif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom