Simba wasitafute mchawi ...mchawi wa simba namba1 ni Ahmed Ally...siku huyu jamaa atakapofukuzwa kazi simba itarudi kwenye ubora wake

Apewe nafasi mara ngapi? Alipewa nafasi akafungiwa na tff kwaiyo yanga wangemsubiri mpaka amalize kifungo chake bila kuwa na afisa habari? Asingefungiwa mpaka sasa angekuwa ni afisa habari wa yanga na sio kwasababu yoyote nyingine
 
Simple Logic yanga Ina No 10 wafuatao.

1. Azizi Ki
2. Pakome zouzou
3. Clotus Chama.
4. Max Nzengeli.
5. Mudathiri yahya. (Nabi)

Simba ina no 10 gani??????

JIFUNZE KUTUMIA AKILI.
 
Cha kwanza nimekupa dislikes cha pili Ahmedy Ally anacheza namba ngapi hapo Simba? Kama una hasira kama watu wa LBL gonga dislikes kidogo
 
Utopolo bana eti mbingu na ardhi,ingekuwa hivyo mngepata japo goli moja kwa mc alger
 
Ahmed Ally akifukuzwa, wewe utawalisha wanae? Wakeze?

Ahmed ashindani na msemaji yeyote, ila hao wasemaji wowote ndiyo wanashindana na Ahmed.

Roho mbaya haijengi
 
Ondoa pumba zako hapa.
 
Kwani Ahmed Ally anacheza nafasi gani uwanjani au yeye ni kocha anayewafundisha wachezaji wa Simba kupiga back passes?
Ndio hapo nashangaa,hajui kazi ya msemaji wa club!
 
Kampikie mumeo haraka sana
 
Msemaji hana kosa unamuonea tu
Mapungufu ya Ahmed Ally ni ya ndani sana mpaka uwe na jicho la kiitelejinsia ndo unaweza kiyauona...kwhy sikushangai kma uoni chochote
Huyu jamaa nimemuonea huruma sana mkuu.

Ni mjinga kupita kiasi i mean andiko lake ni la kijinga kupita kiasi.

Ni kama shetani hivi au kichaa
Embu kua na adabu mkuu kichaa babako...jenga hoja acha matusi shwain wewe!!
 
Mapungufu ya Ahmed Ally ni ya ndani sana mpaka uwe na jicho la kiitelejinsia ndo unaweza kiyauona...kwhy sikushangai kma uoni chochote

Embu kua na adabu mkuu kichaa babako...jenga hoja acha matusi shwain wewe!!

Wahi Mirembe Mzee.
Afya ya Akili Inakutesa.

Nitakupa Matibabu Bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…