Simba wasitafute mchawi ...mchawi wa simba namba1 ni Ahmed Ally...siku huyu jamaa atakapofukuzwa kazi simba itarudi kwenye ubora wake

Nimerudi kuusoma tena huu utumbo…. Kwakweli tuna watu wa hovyo sana

Huyu mleta mada ni hollow kabisa
 
Mapungufu ya Ahmed Ally ni ya ndani sana mpaka uwe na jicho la kiitelejinsia ndo unaweza kiyauona...kwhy sikushangai kma uoni chochote

Embu kua na adabu mkuu kichaa babako...jenga hoja acha matusi shwain wewe!!
Kwahiyo wewe ndio una jicho la kiintelijensia?

Crap
 
Unayajua vizur majukumu ya msemaji wa timu ?

Ana uhusiano Gani na performance ya timu uwanjani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…