Simba wasusie hela ya goli ya mama

Uelewa wako ndio mdogo akuna sehemu waliyosema icho unachokisema hapo, walisema timu ikishinda ndio unapata iyo pesa na sio vinginevyo, alafu Mama sio fara kiivyo unavyodhani Ile kuweka milioni kumi alijua amtolamba ata mia yake kwakuwa uwezo wa kumfunga Aly ahly alijua amtothubutu na pesa yake itabaki kwenye mikono salama ikasaidie mambo mengine!
 
Elimu eli elimu elimu elimu x 100
 
Yanga kwenye mechi na USM alger ahadi ilikuwa kama hiyo endapo yanga akishinda mechi kila holi milioni kadhaa, yanga akabanduliwa 2-1 kwa mkapa na bado akapewa hela
Mwanzo alikuwa ananunua goli haijalishi matokeo, ila sasahivi anaangalia na ushindi pia
 
Hakuna sintofahamu yoyote bali vigezo vimebadilika
 
Sawa tumesusia kachulueni nyie mwiko nyuma
 
Hovyo kabisa. Kwahiyo Simba ingefungwa 5 -3 ndiyo ipewe 30 million akili za hovyo kabisa. Pesa hazipatikani kirahisi hivyo.
 
Yaani upewe pesa na huna Cha maana ulichafanya?, Kama Sa100 ni yanga zile za Horoya ulizitoa wewe?. Punguzeni ujinga nyie viazi wa Mangungu 😅
 
Kwani wewe Mgeni wa kanuni za kupata Hiyo ela ? Msimu uliopita ilikuwaje ???
 
Kula pesa ya mama inabidi utumie akili sana, ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…