changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Nimefatilia hili, ni kweli Yanga walipewa milioni 20 pamoja na kufungwa na USMA.Hakupewa pesa achana na wazushi hao. Tangu msimu uliopita ilitangazwa timu ikishinda na ilisisitizwa hivyo. Shindeni mechi acheni janja janja.
View: https://m.youtube.com/watch?v=_Fl4K8uQL0M