Simba wataenda uwanja gani kupata point 3 hiyo tarehe 15?

Simba wataenda uwanja gani kupata point 3 hiyo tarehe 15?

According na barua ya mwisho kutoka kwa Utopolo kwenda kwa TFF na bodi ya Ligi ni kuomba kuufanya KMC stadium kuwa uwanja wao wa Nyumban (na sio Chamazi ).

Kiutaratibu kama Yanga wanataka kucheza nje ya KMC bas wanaandika barua kuomba kuhamisha mechi, na kama hawajaandika means uwanja wao ambao unatambulika kama wa nyumban ndio mechi itachezwa.

Kmc stadium.

Ila naona kabisa Siasa itaingilia na hili.
Atatokea waziri kuwaweka vikao simba na Yanga na Rais atapiga simu moja tu.
Mchezo unachezwa.
 
Back
Top Bottom