Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Kabisa.Mechi lazima hii iamue vitu viwili
1. Timu ziiingie uwanjani au
2. Timu moja ipewe ushindi na nyingine kupoteza endapo isipotokea uwanjani. Sheria zitaamua hili nawaeleza
Yanga wakiamua hiyo option ya 2.
Tutawashukuru pia.