Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,899
- 73,370
Mkicheza nitawadharau sana..mtani 😆 😆 😆Hatuchezi
Mkicheza nitawadharau sana..mtani 😆 😆 😆Hatuchezi
Now nimebakia na tiketi zangu za VIP B tu ngoja tuone itakuwaje ila game iliyopita nilipata hasara sana 😃😃Mkicheza nitawadharau sana..mtani 😆 😆 😆
Pole mtani..tunza tiketi yako kwa sbb naona dadali ya nyie kucheza..ila tutawazodoa mnoo mnooNow nimebakia na tiketi zangu za VIP B tu ngoja tuone itakuwaje ila game iliyopita nilipata hasara sana 😃😃
Tukifungwa siku hiyo nitaenda zangu baharini na bia zangu tatu nikimaliza kuzinywa nitaenda kulia peke yangu nyumbani😃😃😃Pole mtani..tunza tiketi yako kwa sbb naona dadali ya nyie kucheza..ila tutawazodoa mnoo mnoo
Kufungwa lazima hilo niamini mimi....kama mtacheza...au droo...hatuwezi kufungwa tena aiseeTukifungwa siku hiyo nitaenda zangu baharini na bia zangu tatu nikimaliza kuzinywa nitaenda kulia peke yangu nyumbani😃😃😃
Kwani wewe unaiona hii serikali ni ndumi la kumoja!!???Itakuwa serikali ndumi la kuwili, ilikuwa wapi march 8?
😂😂😂😂😂Hao utopolo wakicheza nitawaona Mazuzu sana....
Wasimamie kucha hivyo hivyo
Wakibadili mawazo nitawaita malofa mpk mwisho wa dahari...
😂😂😂😂Kwani wewe unaiona hii serikali ni ndumi la kumoja!!???
Acha kuwaza kama mjinga basi😎😎Kama YANGA hawatoandaa Mchezo wa Tarehe 15 Ina maana Simba watakuwa hawajui waende Uwanja Upi ili wapate hizo point tatu, Kwasababu mwenyeji hajasema Venue..!!
Hii movie ni Kali sana 🙌🏻🙌🏻
Tumechoka kuwafungaNyie njooni kitajulikana hapo hapo...
Wata anza kugawa point tatu za tarehe 8 kwanzaAcha kuwaza kama mjinga basi😎😎
Nani kakwambia pointi 3 ni mpaka uingie uwanjani? Au ukiambiwa pointi 3 za mezani unajua zimeokotwa mezani kwenye kisosi?
You are too physical I see
Serikali icheze na SimbaSerikali haiwezi kukubali derby isichezwe.
😃😃Kufungwa lazima hilo niamini mimi....kama mtacheza...au droo...hatuwezi kufungwa tena aisee
Wanatuvizia ili wapate cha kuongea.Hajajiandaa wapi wkt wapo kwny tizi?
Haujawahi kutufanga mpk uchoke...sema tumefungana..Tumechoka kuwafunga
Kwa hio mnataka na nyie mpumuliwe?Haujawahi kutufanga mpk uchoke...sema tumefungana..
Njooni basi mfunge tuache kuwapumulia hapo juu...
tuwapupulie kabisa..Kwa hio mnataka na nyie mpumuliwe?