Simba wataenda uwanja gani kupata point 3 hiyo tarehe 15?

Simba wataenda uwanja gani kupata point 3 hiyo tarehe 15?

According na barua ya mwisho kutoka kwa Utopolo kwenda kwa TFF na bodi ya Ligi ni kuomba kuufanya KMC stadium kuwa uwanja wao wa Nyumban (na sio Chamazi ).

Kiutaratibu kama Yanga wanataka kucheza nje ya KMC bas wanaandika barua kuomba kuhamisha mechi, na kama hawajaandika means uwanja wao ambao unatambulika kama wa nyumban ndio mechi itachezwa.

Kmc stadium.

Ila naona kabisa Siasa itaingilia na hili.
Atatokea waziri kuwaweka vikao simba na Yanga na Rais atapiga simu moja tu.
Mchezo unachezwa.
ni ruksa kujipa moyo
 
Kama YANGA hawato andaa Mchezo wa Tarehe 15 Ina maana Simba watakuwa hawajui waende Uwanja Upi ili wapate hizo point tatu, Kwasababu mwenyeji hajasema Venue..!!

Hii movie ni Kali sana 🙌🏻🙌🏻
Sheria na kanuni zinasemaje ikiwa ratiba ya mechi imeshapsngwa na timu mwenyeji kushindwa kuandaa uwanja Kwa ajili ya mechi Kwa maksudi na jeuri?
 
Safari hii hatutaki tena Bi Mkubwa aingilie kati,tunataka haki na uwajibikaji ndani ya bodi ya league na TFF yenyewe.
 
Hivi ukiachana na mengine ukaenda kwenye uhalisia, hapa kuna mtu mwenye akili atawaomba watu walipe tena? Mara mia hiyo Yanga isiyotaka kuchezea hela ya watu aise. Ulipe kiingilio, ulipe nauli, uambiwe hakuna mechi.
 
Mechi lazima hii iamue vitu viwili
1. Timu ziiingie uwanjani au
2. Timu moja ipewe ushindi na nyingine kupoteza endapo isipotokea uwanjani. Sheria zitaamua hili nawaeleza
Na hiyo itadhihilisha kuna timu yenye mamlaka kuzidi nyingine sasa. Hivi, tuseme tu ule ukweli. Timu professional, unaweza ukasema huchezi kisa hujafanyia mazoezi uwanja wa mechi kesho yake? Linaingia akilini hili!? Au ni ile tu kwamba lazima sisi tuhakikishe tunashinda na kutwaa ubingwa?! Asiekubali kushindwa sio mshindani. Na timu zingejua zina sapoti kubwa ya wananchi, zisingekuwa zinaleta mzaha kwenye pesa za watu. Hela iliyolipiwa viingolio ipo wapi kwanza!? Wa kulaumiwa kwa hilo ni nani!?
 
Kama YANGA hawato andaa Mchezo wa Tarehe 15 Ina maana Simba watakuwa hawajui waende Uwanja Upi ili wapate hizo point tatu, Kwasababu mwenyeji hajasema Venue..!!

Hii movie ni Kali sana 🙌🏻🙌🏻
Mechi itafanyikia Mo Arena Bunju! Na Mo mwenyewe ndiyo atakaa getini kukusanya mapato ya viingilio.

Waamuzi wa huo mchezo ni Kepha Kayombo (mwamuzi wa kati), Japhet Smart (kibendera 1), Tatu Malogo (kibendera 2), na Shomary Lawi (mwamuzi wa akiba), na Kamishna wa mchezo ni Wallace Karia.
 
Back
Top Bottom