Freesociety
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 1,081
- 1,044
Mbona ya trh 8 march 2025 ilikubali? Iliona nini? Unapokua mwongo jaribu kuwa na kumbukumbu.Serikali haiwezi kukubali derby isichezwe.
Mbona ya trh 8 march 2025 ilikubali? Iliona nini? Unapokua mwongo jaribu kuwa na kumbukumbu.Serikali haiwezi kukubali derby isichezwe.
Unapenda hio michezo!tuwapupulie kabisa..
Wenye akili waliletewa Manzoki kwenye uchaguziwenye akili watapeleka timu yao uwanjani tarehe 15/06/2025 ila wala mihogo wenyewe wataendelea kupiga mayowe.
Wataenda uwanja ambao TFF imepeleka waamuzi, kamisaa na other match officials. Simple tu.Kama YANGA hawatoandaa Mchezo wa Tarehe 15 Ina maana Simba watakuwa hawajui waende Uwanja Upi
Uwanja wa nyumbani yanga aliouchagua kwa ajili ya mechi za nbc premier league ni upi?Kama YANGA hawatoandaa Mchezo wa Tarehe 15 Ina maana Simba watakuwa hawajui waende Uwanja Upi ili wapate hizo point tatu, Kwasababu mwenyeji hajasema Venue..!!
Hii movie ni Kali sana 🙌🏻🙌🏻
Uwanja unajulikanaKama YANGA hawatoandaa Mchezo wa Tarehe 15 Ina maana Simba watakuwa hawajui waende Uwanja Upi ili wapate hizo point tatu, Kwasababu mwenyeji hajasema Venue..!!
Hii movie ni Kali sana 🙌🏻🙌🏻
Ipi hyo?Unapenda hio michezo!
Ya kupupulianaIpi hyo?
Ahahahaa....kupupuliana tena ndo nini hiko jamani.Ya kupupuliana
Soma comment number yako #98Ahahahaa....kupupuliana tena ndo nini hiko jamani.
Nilikua hovez itakua....hahahaaSoma comment number yako #98
Ulikua kwenye mipango ya refaNilikua hovez itakua....hahahaa
Tutusa lingine hiliUwanja wa nyumbani yanga aliouchagua kwa ajili ya mechi za nbc premier league ni upi?
Ona huyu ng'ombe sasaTutusa lingine hili
Sababu za kuahirisha mechi zilishatolewa na bodi ya ligi. Wew unataka sababu gani tena??Mapunguani pekee ndiyo wanafurahia ujinga uliofanywa na Bodi ya ligi kuhairisha mchezo hadi leo hawajatoa taarifa ya sababu walizokuwa wanachunguza...then watu wanawaona kama wako sawa kupanga tena tarehe za mchezo.
Simamieni kwa umoja kuiwajibisha bodi ya Ligi wawajibike siyo kushabikia ujinga.
Hivi yanga kila msimu mnaonewa nye tu?Safari hii hatutaki tena Bi Mkubwa aingilie kati,tunataka haki na uwajibikaji ndani ya bodi ya league na TFF yenyewe.