Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 228
- 933
Wanaoandaa mechi ni TFF na BodiKama YANGA hawato andaa Mchezo wa Tarehe 15 Ina maana Simba watakuwa hawajui waende Uwanja Upi ili wapate hizo point tatu, Kwasababu mwenyeji hajasema Venue..!!
Hii movie ni Kali sana ππ»ππ»
Timu mwenyeji ndio inatangaza uwanja na pia inatangaza viingilio na ndio maana leo Ahmed Ally anawaomba Yanga wataje viingilio.Wanaoandaa mechi ni TFF na Bodi
Timu mwenyeji ndio inatangaza uwanja na pia inatangaza viingilio na ndio maana leo Ahmed Ally anawaomba Yanga wataje viingilio.
Ila jamaa ni kweli wamesimamia kucha. Hawachezi.
Kama YANGA hawato andaa Mchezo wa Tarehe 15 Ina maana Simba watakuwa hawajui waende Uwanja Upi ili wapate hizo point tatu, Kwasababu mwenyeji hajasema Venue..!!
Hii movie ni Kali sana
Wanaoandaa mechi ni TFF na Bodi
Kmc wakiwa na mechi nyumbani,nani huandaa mechi(funguo za uwanja)?Wanaoandaa mechi ni TFF na Bodi
Ng'ooMlidhani tunatania? HATUCHEZI
Itakuwa serikali ndumi la kuwili, ilikuwa wapi march 8?Serikali haiwezi kukubali derby isichezwe.
πππ Kama wanaondaa mechi ni bodi ya ligi kwanini mabaunsa wa yanga wahusike kuwazuia simba?. Bodi ya ligi inahusika kupanga ratiba na taratibu za kuandaa waamzi suala la mechi husika taratibu zote huachiwa timu mwenyeji?.Wanaoandaa mechi ni TFF na Bodi
πππKwani serikali si walishakaa na tff,simba na yanga? Au hujui na bado yanga wakakataa.Serikali haiwezi kukubali derby isichezwe.