Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hivi atakayepata ni MO au Simba ?Kwa mjibu wa caf timu zitakazoingia makundi yaani 16 bora watapata pesa za kitanzania bilioni moja na milioni mia mbiliView attachment 1670534
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi atakayepata ni MO au Simba ?Kwa mjibu wa caf timu zitakazoingia makundi yaani 16 bora watapata pesa za kitanzania bilioni moja na milioni mia mbiliView attachment 1670534
Kwani sisi mashabiki kindakindaki hatuna fungu hapo[emoji39]ole wenu mje kuuliza hizo bilioni 1.2.
Fedha zote zinakwenda kwa Mo kwani ndiyo Kama mlezi au Mzazi wa timu hakuna na wala hatokuwepo Kama yeye. Anagharamia timu mazoezi,mishahara,posho na hata kumlipa kocha .Gharama zote za uendeshaji wa Club zipo chini yake hivyo hela lazima iingie mikononi mwakeHivi atakayepata ni MO au Simba ?
Wenzio Waarabu wanakulia Tende na kukunywea maziwa ya Ngamia na Wakongo wanakulambia Vumbi la Kongo.Kazi unayo lazima jasho likutoke na uchanike msamba .Jeuri yako yote itaisha ngoja tusubiri.Shinden mech apo zanziba tukutane... msikimbie
Wakishinda kwako wakija hapa nao hawatoki. . Tutapishana idadi ya magoli tu ila kila mtu achkue point tatu kwake. Tunataka tumalizane na nyie kwanza.Wenzio Waarabu wanakulia Tende na kukunywea maziwa ya Ngamia na Wakongo wanakulambia Vumbi la Kongo.Kazi unayo lazima jasho likutoke na uchanike msamba .Jeuri yako yote itaisha ngoja tusubiri.
Umenifanya niwaze yanga wanarudishaje pesa za mwarabu gsm,Hela na Mwarabu hizo kwani yeye na CEO mrembo ndiyo kila kitu wanagharamia timu kila kitu hivyo hizo Ni hela zao kurudisha gharama zao za kuihudumia na kuigharamia timu
Hivi Simba ina wanachama duni kama hivi !Fedha zote zinakwenda kwa Mo kwani ndiyo Kama mlezi au Mzazi wa timu hakuna na wala hatokuwepo Kama yeye. Anagharamia timu mazoezi,mishahara,posho na hata kumlipa kocha .Gharama zote za uendeshaji wa Club zipo chini yake hivyo hela lazima iingie mikononi mwake