Simba watajinyakulia 1.2 bilioni

Simba watajinyakulia 1.2 bilioni

Hivi atakayepata ni MO au Simba ?
Fedha zote zinakwenda kwa Mo kwani ndiyo Kama mlezi au Mzazi wa timu hakuna na wala hatokuwepo Kama yeye. Anagharamia timu mazoezi,mishahara,posho na hata kumlipa kocha .Gharama zote za uendeshaji wa Club zipo chini yake hivyo hela lazima iingie mikononi mwake
 
Shinden mech apo zanziba tukutane... msikimbie
Wenzio Waarabu wanakulia Tende na kukunywea maziwa ya Ngamia na Wakongo wanakulambia Vumbi la Kongo.Kazi unayo lazima jasho likutoke na uchanike msamba .Jeuri yako yote itaisha ngoja tusubiri.
 
Wenzio Waarabu wanakulia Tende na kukunywea maziwa ya Ngamia na Wakongo wanakulambia Vumbi la Kongo.Kazi unayo lazima jasho likutoke na uchanike msamba .Jeuri yako yote itaisha ngoja tusubiri.
Wakishinda kwako wakija hapa nao hawatoki. . Tutapishana idadi ya magoli tu ila kila mtu achkue point tatu kwake. Tunataka tumalizane na nyie kwanza.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Hela na Mwarabu hizo kwani yeye na CEO mrembo ndiyo kila kitu wanagharamia timu kila kitu hivyo hizo Ni hela zao kurudisha gharama zao za kuihudumia na kuigharamia timu
Umenifanya niwaze yanga wanarudishaje pesa za mwarabu gsm,
 
Fedha zote zinakwenda kwa Mo kwani ndiyo Kama mlezi au Mzazi wa timu hakuna na wala hatokuwepo Kama yeye. Anagharamia timu mazoezi,mishahara,posho na hata kumlipa kocha .Gharama zote za uendeshaji wa Club zipo chini yake hivyo hela lazima iingie mikononi mwake
Hivi Simba ina wanachama duni kama hivi !
 
Back
Top Bottom