Mr consolation
Senior Member
- Oct 18, 2023
- 139
- 92
Yanga wao hawamo?.Hapa ndo ukisikia mtu mzima kusumbuka
Sisi wanasimba tulihitaji kale katimu ka South Africa Sasa tumepewa mwarabu
Kama Simba ataingia semi final atakutana na Zamalek au Stelleboch π€£π
Kimeumana
Hii imeniuma, GSM anahujumu hadi huko CAFCC
Hehehehehehehehehehehehehehehehe!!!!!SIMBA yenye safu bora ya ushambuliaji?
Huo muda wa kuwashangilia nyinyi, au hao Waarabu hatuna. Sisi tuko busy na timu yetu ya Wananchi.
lakini mnakaribishwa kuja kujifunza..maana simba ni zaidi ya darasa kwenu..naona waarabu bado mnawaogopa sana..Huo muda wa kuwashangilia nyinyi, au hao Waarabu hatuna. Sisi tuko busy na timu yetu ya Wananchi.
wanashiriki kombe gani?Yanga hawashiriki Shirikisho ambayo ndo mashindano ya akina mama
Walibahatisha mwaka Jana Tuπ€π€. Labda baada ya miaka 26 tenaπBado nasubiri Draw ya Uto
Kama nyinyi mlivyolaumiana ee. Tulieni wataalam wa hizi kazi tu. Hivi huko caf msimamo upoje πBaada ya kutolewa, tusisikie kelele za kumlaumu Mangungu, Matola, au baadhi ya wachezaji wenu. Sawa kijana?
Mko bize kununua makocha wa timu pinzani ili wawapangie timu dhaifu mshinde kirahisi sio?Huo muda wa kuwashangilia nyinyi, au hao Waarabu hatuna. Sisi tuko busy na timu yetu ya Wananchi.
1. Yanga ilicheza mpaka fainali ya wakina mamaMbona haujasema kombe la kina mama? Ghafla mashindano yamekuwa magumu kwako.
Mwaka huu mpaka mtakuwa vichaa.Pigaaa hao simba