Simba watakutana na Al Masry ya Egypt

Simba watakutana na Al Masry ya Egypt

Hatujawahi kumtoa al ahaly. Inshu sio kumfunga, inshu ni kumtoa. Ni mtoano huu.
Ukiweza kumfunga al ahly unaweza kumtoa al masry.

Udhaifu wa hawa al masry wanaruhusu sana magoli sio nyumbani wala ugenini.

Walicheza na timu dhaifu ya libya wakafungwa 3 na kwao wakaruhusu magoli 2 jumla magoli 5.
 
Nimesikitika sana kuona uzi wenye uoga na wakishabiki kama huuu. Simba naye ni mzito haswaaa
 
Nimesikitika sana kuona uzi wenye uoga na wakishabiki kama huuu. Simba naye ni mzito haswaaa
Timu nzito zimecheza CAFCL sio Simba aliyecheza shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama
 
Al ahly alifungwa akiwa bingwa wa misri, bingwa wa afrika, nafasi ya 3 klabu bingwa dunia, sembuse huyu wa 4?
shida sio kumfunga AL AHLY shida ni kumfunga usonge hatua inayofuata yeye abaki. hii ya simba kumfunga AL AHLY haikuleta athari yeyote,kwani mala zote amekuwa akifanya hivyo alafu AL AHLY anaenda kuchukua ubingwa. Zinduka kolo wewe.
 
Hapa ndo ukisikia mtu mzima kusumbuka

Sisi wanasimba tulihitaji kale katimu ka South Africa Sasa tumepewa mwarabu

Kama Simba ataingia semi final atakutana na Zamalek au Stelleboch 🤣😅
Kimeumana

Hii imeniuma, GSM anahujumu hadi huko CAFCC
Kila la kheri Mtani 😜😜
 
Hapa ndo ukisikia mtu mzima kusumbuka

Sisi wanasimba tulihitaji kale katimu ka South Africa Sasa tumepewa mwarabu

Kama Simba ataingia semi final atakutana na Zamalek au Stelleboch 🤣😅
Kimeumana

Hii imeniuma, GSM anahujumu hadi huko CAFCC
Wala haitusumbui, as long as tunaanzia ugenini, wakija hapa tunae refa wetu wa Namungo tunamwambia tu " kama tulivyo" atakua ameshaelewa kama tunataka red card, penalti 3 na goli la offside.
 
Wala haitusumbui, as long as tunaanzia ugenini, wakija hapa tunae refa wetu wa Namungo tunamwambia tu " kama tulivyo" atakuja ameshaelewa kama tunataka red card, penalti 3 na goli la offside.
Wakati huo ugenini mmeshachinyirwa goli 7
 
Back
Top Bottom