TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Unaongea ukiwa Gesti gani?Mbona haujasema kombe la kina mama? Ghafla mashindano yamekuwa magumu kwako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongea ukiwa Gesti gani?Mbona haujasema kombe la kina mama? Ghafla mashindano yamekuwa magumu kwako.
Hatujawahi kumtoa al ahaly. Inshu sio kumfunga, inshu ni kumtoa. Ni mtoano huu.Al ahly alifungwa akiwa bingwa wa misri, bingwa wa afrika, nafasi ya 3 klabu bingwa dunia, sembuse huyu wa 4?
Ukiweza kumfunga al ahly unaweza kumtoa al masry.Hatujawahi kumtoa al ahaly. Inshu sio kumfunga, inshu ni kumtoa. Ni mtoano huu.
mashindano ya akina mama ambayo mulifika final na mkavishwa shanga.Nani Sasa anajali hayo mashindano yenu ya akina mama
shida sio kumfunga AL AHLY shida ni kumfunga usonge hatua inayofuata yeye abaki. hii ya simba kumfunga AL AHLY haikuleta athari yeyote,kwani mala zote amekuwa akifanya hivyo alafu AL AHLY anaenda kuchukua ubingwa. Zinduka kolo wewe.Al ahly alifungwa akiwa bingwa wa misri, bingwa wa afrika, nafasi ya 3 klabu bingwa dunia, sembuse huyu wa 4?
Sio kufika, Tunabeba kombe. LolFikeni fainali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama yanga alivyofirimbwa na al hilal.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mashindano ya akina mama ambayo mulifika final na mkavishwa shanga.
Kila la kheri Mtani 😜😜Hapa ndo ukisikia mtu mzima kusumbuka
Sisi wanasimba tulihitaji kale katimu ka South Africa Sasa tumepewa mwarabu
Kama Simba ataingia semi final atakutana na Zamalek au Stelleboch 🤣😅
Kimeumana
Hii imeniuma, GSM anahujumu hadi huko CAFCC
Weiren siiMwarabu kwetu ni mtt mdogo sana bila hujuma kwao analetwa mapema tu nje ndan
Weiren siiYani Masry ni mdebwedo balaa,simba kapata mteremko
Sio kwa safu za ushambuliaji butu butuUdhaifu wa hawa al masry wanaruhusu sana magoli sio nyumbani wala ugenini.
tehe tehe 😅🤣Yanga atakuna na Mashujaa robo fainali klabu bingwa Afrika.
Mbona umeyafungulia uzi??Nani Sasa anajali hayo mashindano yenu ya akina mama
Wala haitusumbui, as long as tunaanzia ugenini, wakija hapa tunae refa wetu wa Namungo tunamwambia tu " kama tulivyo" atakua ameshaelewa kama tunataka red card, penalti 3 na goli la offside.Hapa ndo ukisikia mtu mzima kusumbuka
Sisi wanasimba tulihitaji kale katimu ka South Africa Sasa tumepewa mwarabu
Kama Simba ataingia semi final atakutana na Zamalek au Stelleboch 🤣😅
Kimeumana
Hii imeniuma, GSM anahujumu hadi huko CAFCC
Wakati huo ugenini mmeshachinyirwa goli 7Wala haitusumbui, as long as tunaanzia ugenini, wakija hapa tunae refa wetu wa Namungo tunamwambia tu " kama tulivyo" atakuja ameshaelewa kama tunataka red card, penalti 3 na goli la offside.