tamsana
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 3,739
- 8,044
Dharau sio.Siyo suala la uwezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dharau sio.Siyo suala la uwezo
Magumu ndiomaana kashindwa kufika robo?Yanga mwaka huu hamkushiriki mashindano ya shirikisho kama Simba
Yanga alikuwa kwenye mashindano magumu
Uzuri tunaanzia kwao..Wakitufanyia figisu tunakuja kupiga mara 2 huku kwa Samia.Mwarabu kwetu ni mtt mdogo sana bila hujuma kwao analetwa mapema tu nje ndan
Yanga ilitolewa kwa sababu ya wachezaji kubweteka. Binafsi niliunga mkono kutimuliwa kwa Gamondi kutokana na kushindwa kwake kusimamia nidhamu ya wachezaji nje ya uwanja na hivyo kusababisha viwango vyao kushuka.Hata nyie mlivyotolewa mlimlaumu injinia kwanini kafukuza kocha kipindi muhimu kama kile, vilabu vya kariakoo lawama lazima.
Hehehehehehehehehehehehehehehehe!!!!!!!Hapa ndo ukisikia mtu mzima kusumbuka
Sisi wanasimba tulihitaji kale katimu ka South Africa Sasa tumepewa mwarabu
Kama Simba ataingia semi final atakutana na Zamalek au Stelleboch 🤣😅
Kimeumana
Hii imeniuma, GSM anahujumu hadi huko CAFCC
Si ndio maana tulitoka makundi hujuma ni kubwa sana tulimtaka singida kwenye kundi letu!Hapa ndo ukisikia mtu mzima kusumbuka
Sisi wanasimba tulihitaji kale katimu ka South Africa Sasa tumepewa mwarabu
Kama Simba ataingia semi final atakutana na Zamalek au Stelleboch 🤣😅
Kimeumana
Hii imeniuma, GSM anahujumu hadi huko CAFCC
Kama yanga alivyofirimbwa na al hilal.Na watafilimbwa kwelikweli,mashabiki wao wanadhani ni timu nyanya, subiri
Kabla ya kuingia fainali ulikutana na timu gani kati ya hizi?Fikeni fainali
Hivi Hawa CAF Huwa wanatutaka Nini haswa Kila robo ikifika kutupanga na timu ngumu ngumu!?. Hakunaga kamsekeleko Kama walikopataga watani!!!!Hapa ndo ukisikia mtu mzima kusumbuka
Sisi wanasimba tulihitaji kale katimu ka South Africa Sasa tumepewa mwarabu
Kama Simba ataingia semi final atakutana na Zamalek au Stelleboch 🤣😅
Kimeumana
Hii imeniuma, GSM anahujumu hadi huko CAFCC
mwakakundi huna nafasi ya kucomment humu maana wewe na Azam huna tofautiNani Sasa anajali hayo mashindano yenu ya akina mama
Yanga alipataga bahati mwaka ule na CAF walijua maana ndo mafanikio pekee wanayojivunia mpaka sasa 😃Kabla ya kuingia fainali ulikutana na timu gani kati ya hizi?
ZAMALEK
BERKANE
USM ALGER
Unajua gasho kama wewe hata haujui kama al masry alishawahi kukutana na SIMBA na bado hakumfunga pili al masry ni midtable team tu hawana maajabu yoyote hata kufuzu tu wamefuzu kwa ndondokela.Umeona sina uwezo wa kulipia sio!
Al ahly alifungwa akiwa bingwa wa misri, bingwa wa afrika, nafasi ya 3 klabu bingwa dunia, sembuse huyu wa 4?Wako wa 4 kwenye ligi yao
Yanga alipataga bahati mwaka ule na CAF walijua maana ndo mafanikio pekee wanayojivunia mpaka sasa