Simba watakutana na Al Masry ya Egypt

Simba watakutana na Al Masry ya Egypt

Robo faunal 6 hakuna hata moja waliowahi kufuzu .... Wao ni mwakarobo over!!.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Unafikiri robo ni ya mchezo mchezo mwakakikundi? Simba kucheza robo kawaida. Sasa nyie mnaishia makundi tu๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Tupo kwenye ligi ya akina mama ambayo
1. Yanga alicheza mpaka fainal
2. Alivaa medali za kinamama
3. Alitengeneza documentary kuonesha yeye ni mama bora
Robo siyo mchezo, pamoja na kuwa na wanacheza wote meishia makundi. Ingekuwa Simba uhakika 100% robo
Umepangwa na timu gani mtani au ndiyo umeishia makundi?๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
1. Yanga ilicheza mpaka fainali ya wakina mama
2. Ilivaa mpaka medali ya wakinamama
3. Ilitengeneza mpaka documentary kuonesha yeye ndiyo mama mkubwa Tanzania nzima
4. Kwenye makao makuu ya soka, iliandaa sherehe ya kunywa supu kujipongeza yeye ndiyo mama bora kuliko wote Tanzania.
Aliyeeita Young Africans utopolo a.k.a mwakakikundi hakukosea
Wewe mama mkubwa, umepangwa kwenye makundi gani?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huwa mnajitoa ufahamu. Mgechukua na kombe la wakinamama leo Young Africans mngekuwa pisi kali.[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwanza kupigizana kelele na mtu aliyeshindwa, ni matumizi mabaya ya mda....vyura fc endeleeni kulopoka, sisi ngoja tusubilie mech..hata hivyo tarehe 2 mwez wa 4 sio mbali sana.
 
Back
Top Bottom