Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,083
- 6,872
Unafikiri robo ni ya mchezo mchezo mwakakikundi? Simba kucheza robo kawaida. Sasa nyie mnaishia makundi tu๐๐๐Robo faunal 6 hakuna hata moja waliowahi kufuzu .... Wao ni mwakarobo over!!.๐๐
Tupo kwenye ligi ya akina mama ambayo
1. Yanga alicheza mpaka fainal
2. Alivaa medali za kinamama
3. Alitengeneza documentary kuonesha yeye ni mama bora
Robo siyo mchezo, pamoja na kuwa na wanacheza wote meishia makundi. Ingekuwa Simba uhakika 100% robo
Umepangwa na timu gani mtani au ndiyo umeishia makundi?๐๐๐๐