1. Yanga ilicheza mpaka fainali ya wakina mama
2. Ilivaa mpaka medali ya wakinamama
3. Ilitengeneza mpaka documentary kuonesha yeye ndiyo mama mkubwa Tanzania nzima
4. Kwenye makao makuu ya soka, iliandaa sherehe ya kunywa supu kujipongeza yeye ndiyo mama bora kuliko wote Tanzania.
Aliyeeita Young Africans utopolo a.k.a mwakakikundi hakukosea
Wewe mama mkubwa, umepangwa kwenye makundi gani?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huwa mnajitoa ufahamu. Mgechukua na kombe la wakinamama leo Young Africans mngekuwa pisi kali.[emoji3][emoji3][emoji3]