Swali je tiketi ambazo zilisha pita kwenye mfumo je zitatumika tena?Kumekucha, mjini kumechangamka! ๐โฝ
Klabu ya Simba inatoa taarifa kwa Wanachama, Wapenzi, na Umma kuwa mchezo nambari 184 dhidi ya Yanga uliopangwa kufanyika tarehe 15/6/2025 upo kama ulivyopangwa.
Tunawasihi msihadaike na kelele za mitaani, Wale ambao walinunua tiketi za mechi ya tarehe 8/3/2025 wazitunze kwa ajili ya matumizi ya mchezo huo na wale ambao hawajanunua tiketi wajiandae kununua baada ya tangazo la Bodi ya Ligi.
"Twendeni tukaujaze Uwanja wa Mkapa"
Inafahamika wazi kuwa Ligi Kuu ya NBC inajumuisha Timu 16 na si ligi ya timu moja, Kwa mujibu wa taratibu kabla ya kuanza msimu, Vilabu vyote 16 hushiriki vikao na kutoa mapendekezo ya kuboresha kanuni na taratibu ili kuimarisha ligi yetu, Hivyo wenye hoja wafuate taratibu husika.
Tunaomba Bodi ya Ligi na TFF watoe hadharani ripoti ya uchunguzi juu ya wale wote waliohusika kuharibu mechi ya ligi jioni ya tarehe 7/3/2025 na wachukuliwe hatua stahiki na mamlaka husika.
Kutotolewa kwa ripoti na kutochukuliwa hatua kwa wanaoendelea kuchochea ghasia ni sawa na kulinda uharamia katika mpira ambao unatia dosari mafanikio yaliyopo katika tasnia ya mpira wa miguu nchini kwa sasa.
Hii ni maajabuKweli mambo yanabadila Kwa Kasi sana.
Naona Leo Simba( timu mgeni) akiisaidia yanga( timu mwenyeji) kuujaza uwanja
Wapeleke timu yao kwa Mkapa hakuna shidaKumekucha, mjini kumechangamka! ๐โฝ
Klabu ya Simba inatoa taarifa kwa Wanachama, Wapenzi, na Umma kuwa mchezo nambari 184 dhidi ya Yanga uliopangwa kufanyika tarehe 15/6/2025 upo kama ulivyopangwa.
Tunawasihi msihadaike na kelele za mitaani, Wale ambao walinunua tiketi za mechi ya tarehe 8/3/2025 wazitunze kwa ajili ya matumizi ya mchezo huo na wale ambao hawajanunua tiketi wajiandae kununua baada ya tangazo la Bodi ya Ligi.
"Twendeni tukaujaze Uwanja wa Mkapa"
Inafahamika wazi kuwa Ligi Kuu ya NBC inajumuisha Timu 16 na si ligi ya timu moja, Kwa mujibu wa taratibu kabla ya kuanza msimu, Vilabu vyote 16 hushiriki vikao na kutoa mapendekezo ya kuboresha kanuni na taratibu ili kuimarisha ligi yetu, Hivyo wenye hoja wafuate taratibu husika.
Tunaomba Bodi ya Ligi na TFF watoe hadharani ripoti ya uchunguzi juu ya wale wote waliohusika kuharibu mechi ya ligi jioni ya tarehe 7/3/2025 na wachukuliwe hatua stahiki na mamlaka husika.
Kutotolewa kwa ripoti na kutochukuliwa hatua kwa wanaoendelea kuchochea ghasia ni sawa na kulinda uharamia katika mpira ambao unatia dosari mafanikio yaliyopo katika tasnia ya mpira wa miguu nchini kwa sasa.
Nami nimeshangaa sana aisee, halafu hao hao Simba ndiye waliotoa msimamo kuwa hawatacheza mechi mpaka waliofanya tukio la kuwazuia kufanya mazoezi wachukuliwe hatua ila leo wanatangulia kucheza mechi pasipo kwanza kusisitiza kuchukukiwa hatua kwa waliowafanyia fujo. Japo wameandika paragraph za mwisho kuomba hatua zichukuliwe ila kwa namna ilivyowasilishwa ni kwamba wao kipaumbele chao kwasasa ni kucheza mechi haijalishi wamechukuliwa hatua hao watu ama lah.Kweli mambo yanabadila Kwa Kasi sana.
Naona Leo Simba( timu mgeni) akiisaidia yanga( timu mwenyeji) kuujaza uwanja
Ubaya Ubwela Impacts
๐๐ ๐ค๐๐ฆ๐ ๐ฎ๐ง๐๐ค๐ฎ๐ฆ๐๐ฎ๐ค๐ ๐๐จ๐๐ข ๐ฒ๐ ๐ฅ๐ข๐ ๐ข ๐ฐ๐๐ฅ๐ข๐ฌ๐๐ฆ๐ ๐ฐ๐๐ญ๐๐ญ๐จ๐ ๐ซ๐ข๐ฉ๐จ๐ญ๐ข ๐ค๐๐๐ฅ๐ ๐ฒ๐ ๐ค๐ฎ๐ญ๐๐ง๐ ๐๐ณ๐ ๐ญ๐๐ซ๐๐ก๐ ๐ฒ๐ ๐ฆ๐๐ก๐๐ณ๐จ..๐ข๐ฆ๐๐๐ง๐ณ๐ ๐ญ๐๐ซ๐๐ก๐ ๐ฒ๐ ๐ฆ๐๐ก๐๐ณ๐จ ๐ฅ๐๐ค๐ข๐ง๐ข ๐๐๐ฉ๐จ๐ซ๐ญ ๐ข๐ฆ๐๐๐ข๐๐ก๐ฐ๐ [emoji23]Simba walikaa kimya wakijua yanga wanatania,Taarifa ya Jana wameona kweli jamaa hawatanii ndiyo wanaona wajitokeze kuitaka machi ili wapate ubingwa wa Bure, Cha kushangaza wanasema ripoti ya uchunguzi itolewe lakini mechi ipo, Kwanini mechi iwepo kabla ya ripoti?
Mechi zote ambazo Yanga ni mwenyeji huwa hawajishughulishi leo wanataka uwanja ujae. Nakubaliana nawe ni maajabuKweli mambo yanabadila Kwa Kasi sana.
Naona Leo Simba( timu mgeni) akiisaidia yanga( timu mwenyeji) kuujaza uwanja
Hatutaki maharamia waharibu mpira wa miguu nchini Tanzania ...yanga ndio maharamia mfunzwe adabu ili iwe fundisho kwa maharamia wengine ambao watawaiga utopoloKolo's mlisema hamtacheza mbaka ripoti ya uchunguzi itolewe.. .. mmesikia atuleti timu mnautaka tena
No reform no election
Kwa Sasa ni kama Simba anaweka tu pressure Kwa bodi ya ligi kuna hatari ameshainusaNami nimeshangaa sana aisee, halafu hao hao Simba ndiye waliotoa msimamo kuwa hawatacheza mechi mpaka waliofanya tukio la kuwazuia kufanya mazoezi wachukuliwe hatua ila leo wanatangulia kucheza mechi pasipo kwanza kusisitiza kuchukukiwa hatua kwa waliowafanyia fujo. Japo wameandika paragraph za mwisho kuomba hatua zichukuliwe ila kwa namna ilivyowasilishwa ni kwamba wao kipaumbele chao kwasasa ni kucheza mechi haijalishi wamechukuliwa hatua hao watu ama lah.
Simba tangu tarehe itangazwe walisema watacheza ... Mwigulu alipiga simu tarehe 7 kuzuia Simba wasifanye mazoezi na mabaunsa wa yanga wakapenda kuzuia.Simba walikaa kimya wakijua yanga wanatania,Taarifa ya Jana wameona kweli jamaa hawatanii ndiyo wanaona wajitokeze kuitaka machi ili wapate ubingwa wa Bure, Cha kushangaza wanasema ripoti ya uchunguzi itolewe lakini mechi ipo, Kwanini mechi iwepo kabla ya ripoti?
Simba wanafki, wanawaunga mkono waliowatetea wasicheze trh 8, kwa kifupi wanalipa fadhira kwa bodi ya ligi.kKweli mambo yanabadila Kwa Kasi sana.
Naona Leo Simba( timu mgeni) akiisaidia yanga( timu mwenyeji) kuujaza uwanja