Simba watoa msimamo wa Dabi, wasema mechi na Yanga ipo Juni 15 kama ilivyopangwa

Simba watoa msimamo wa Dabi, wasema mechi na Yanga ipo Juni 15 kama ilivyopangwa

Ndio maana nakwambia wewe ni majnuni,leo unasema 5imba hawalazimiki kufanya mazoezi kabla ya match na Yanga,hapo hapo mnasema sababu za kukimbia game iliyopita ni kuzuiwa kufanya mazoezi kabla ya match.
Mbona kitu rahisi tu kuelewa. Kanuni ipo ila ni uamuzi wa timu ngeni kutumia uwanja au kutotumia siku moja kabla ya mechi ila wewe kama timu mwenyeji hauwezi tu kujiamulia kuwazuia wasifanye mazoezi.
 
Back
Top Bottom