Simba watoa msimamo wa Dabi, wasema mechi na Yanga ipo Juni 15 kama ilivyopangwa

Simba walikaa kimya wakijua yanga wanatania,Taarifa ya Jana wameona kweli jamaa hawatanii ndiyo wanaona wajitokeze kuitaka machi ili wapate ubingwa wa Bure, Cha kushangaza wanasema ripoti ya uchunguzi itolewe lakini mechi ipo, Kwanini mechi iwepo kabla ya ripoti?
Na hapo hapo mwanzoni katika taarifa yao ya kukataa mechi ya 8 March walitoa azimio lakutokucheza mechi yoyote ya ligi mpaka report cha kilichotokea itolewa na wahusika kuwajibishwa. Hawa hawajielewa wachachanganyikiwa washajua nini kinaenda kuwakuta.
 
𝐒𝐔𝐀𝐋𝐀 𝐋𝐀 𝐔𝐖𝐀𝐉𝐈𝐁𝐈𝐊𝐀𝐉𝐈 𝐊𝐖𝐄𝐓𝐔 𝐁𝐀𝐃𝐎 𝐍𝐈 𝐊𝐈𝐏𝐄𝐍𝐆𝐄𝐋𝐄

𝐓𝐅𝐅 𝐧𝐚 𝐁𝐨𝐝𝐢 𝐲𝐚 𝐥𝐢𝐠𝐢 𝐯𝐢𝐨𝐧𝐠𝐨𝐳𝐢 𝐰𝐚𝐤𝐞 𝐰𝐚𝐥𝐢𝐩𝐚𝐬𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐣𝐢𝐮𝐳𝐮𝐥𝐮 𝐤𝐮𝐩𝐢𝐭𝐢𝐚 𝐬𝐚𝐤𝐚𝐭𝐚 𝐡𝐢𝐥𝐢 𝐥𝐢𝐧𝐚𝐥𝐨𝐳𝐢𝐝𝐢 𝐤𝐮𝐰𝐚𝐜𝐡𝐚𝐟𝐮𝐚 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐭𝐚𝐚𝐬𝐢𝐬𝐢

𝐒𝐢𝐦𝐛𝐚 𝐧𝐚𝐨 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐡𝐚𝐦𝐚𝐬𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐫𝐚𝐢𝐚 𝐰𝐚𝐣𝐚𝐳𝐞 𝐮𝐰𝐚𝐧𝐣𝐚, 𝐡𝐮𝐤𝐮 𝐕𝐢𝐢𝐧𝐠𝐢𝐥𝐢𝐨 𝐯𝐲𝐚 𝐦𝐜𝐡𝐞𝐳𝐨 𝐡𝐚𝐯𝐢𝐣𝐚𝐰𝐞𝐤𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐳𝐢 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐦𝐟𝐮𝐦𝐨 𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐥𝐢𝐩𝐨 𝐧𝐚 𝐡𝐚𝐭𝐚 𝐭𝐢𝐦𝐮 𝐦𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞𝐣𝐢 𝐡𝐚𝐢𝐣𝐚𝐭𝐡𝐢𝐛𝐢𝐭𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐡𝐢𝐫𝐢𝐤𝐢 𝐦𝐜𝐡𝐞𝐳𝐨 𝐡𝐮𝐨 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐤𝐰𝐚𝐧𝐳𝐚 𝐰𝐚𝐦𝐞𝐠𝐨𝐦𝐚

𝐋𝐞𝐨 𝐩𝐢𝐚 𝐒𝐢𝐦𝐛𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐨𝐦𝐛𝐚 𝐑𝐞𝐩𝐨𝐫𝐭 𝐲𝐚 𝐮𝐜𝐡𝐮𝐧𝐠𝐮𝐳𝐢 𝐤𝐢𝐭𝐮 𝐚𝐦𝐛𝐚𝐜𝐡𝐨 𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐚𝐥𝐢𝐤𝐢𝐩𝐢𝐠𝐢𝐚 𝐊𝐞𝐥𝐞𝐥𝐞 𝐭𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐢𝐥𝐞 8/3/2025

𝐃𝐞𝐫𝐛𝐲 𝐢𝐭𝐚𝐜𝐡𝐞𝐳𝐰𝐚𝐣𝐞 𝐰𝐚𝐤𝐚𝐭𝐢 𝐦𝐚𝐦𝐛𝐨 𝐡𝐚𝐲𝐚𝐩𝐨 𝐬𝐚𝐰𝐚
5imba wamezoea utapeli kwa kushirikiana na TFF,washajua match hakuna wanataka kuwatapeli mashabiki wao.
 
Simba walikaa kimya wakijua yanga wanatania,Taarifa ya Jana wameona kweli jamaa hawatanii ndiyo wanaona wajitokeze kuitaka machi ili wapate ubingwa wa Bure, Cha kushangaza wanasema ripoti ya uchunguzi itolewe lakini mechi ipo, Kwanini mechi iwepo kabla ya ripoti?
Sima timu ya kiswazi... wanachoangalia ni maslahi yao tu.. Kolowizadi
 
Utopolo ni Demu anaeingia gheto huku anasema staki staki ukimsukumia tu kitandani anatulia
 
Simba walikaa kimya wakijua yanga wanatania,Taarifa ya Jana wameona kweli jamaa hawatanii ndiyo wanaona wajitokeze kuitaka machi ili wapate ubingwa wa Bure, Cha kushangaza wanasema ripoti ya uchunguzi itolewe lakini mechi ipo, Kwanini mechi iwepo kabla ya ripoti?
Ripoti ya kilichotokea inatakiwa iwe wazi wa kuwajibishwa awajibishwe na mechi imeshapangiwa tarehe inatakiwa mpira uchezwe. Nje ya hapo ni siasa, soka kutumika kisiasa.
 
Kolo's mlisema hamtacheza mbaka ripoti ya uchunguzi itolewe.. .. mmesikia atuleti timu mnautaka tena

No reform no election
Busara imetumika. Bodi imeonyesha dhamira ya kushughulikia swala hili. So kama wadau wa mpira tunataka kuuokoa mpira wetu.
 
Hili tamko la Simba ni la kujiandalia mazingira ya kupata points za mezani
 
2. Simba kufanya mazoezi uwanja wa Mkapa jioni ya 14/06. Ingawa hawalazimiki kufanya hivyo ila itakuwa ishara tosha kuwa maandalizi ya mechi yamekamilika na uwanja uko tayari kuhost mchezo.

Uwanja wa Mkapa umechaguliwa na Yanga au Simba au TFF au Bodi au Serikali?
 
Mimi najiandaa kwenda kwa Mkapa tarehe 15/06.

Ukiona mambo mawili yamefanyika ujue derby ipo pale pale:
1. Kikao cha prematch. Hata kama Yanga hawatahudhuria ila itathibitisha mamlaka zote zimejiandaa kuendelea na mchezo.
2. Simba kufanya mazoezi uwanja wa Mkapa jioni ya 14/06. Ingawa hawalazimiki kufanya hivyo ila itakuwa ishara tosha kuwa maandalizi ya mechi yamekamilika na uwanja uko tayari kuhost mchezo.

Kuna uwezekano wa Yanga kufika uwanjani siku ya mchezo 15/06 bila kuhudhuria prematch meeting. Kuna adhabu zake na sijajua Bodi ya Ligi itadili nalo vipi hilo suala.

Kiujumla hili jambo linatumika na wanasiasa kutupoteza ili tusifocus na mambo muhimu ya kitaifa na wamejua kutuchota.
Ndio maana nakwambia wewe ni majnuni,leo unasema 5imba hawalazimiki kufanya mazoezi kabla ya match na Yanga,hapo hapo mnasema sababu za kukimbia game iliyopita ni kuzuiwa kufanya mazoezi kabla ya match.
 
M
Kumekucha, mjini kumechangamka! 😂⚽

Klabu ya Simba inatoa taarifa kwa Wanachama, Wapenzi, na Umma kuwa mchezo nambari 184 dhidi ya Yanga uliopangwa kufanyika tarehe 15/6/2025 upo kama ulivyopangwa.

Tunawasihi msihadaike na kelele za mitaani, Wale ambao walinunua tiketi za mechi ya tarehe 8/3/2025 wazitunze kwa ajili ya matumizi ya mchezo huo na wale ambao hawajanunua tiketi wajiandae kununua baada ya tangazo la Bodi ya Ligi.

"Twendeni tukaujaze Uwanja wa Mkapa"

Inafahamika wazi kuwa Ligi Kuu ya NBC inajumuisha Timu 16 na si ligi ya timu moja, Kwa mujibu wa taratibu kabla ya kuanza msimu, Vilabu vyote 16 hushiriki vikao na kutoa mapendekezo ya kuboresha kanuni na taratibu ili kuimarisha ligi yetu, Hivyo wenye hoja wafuate taratibu husika.

Tunaomba Bodi ya Ligi na TFF watoe hadharani ripoti ya uchunguzi juu ya wale wote waliohusika kuharibu mechi ya ligi jioni ya tarehe 7/3/2025 na wachukuliwe hatua stahiki na mamlaka husika.

Kutotolewa kwa ripoti na kutochukuliwa hatua kwa wanaoendelea kuchochea ghasia ni sawa na kulinda uharamia katika mpira ambao unatia dosari mafanikio yaliyopo katika tasnia ya mpira wa miguu nchini kwa sasa.

Makolo mnahangaika na nn??nyie nendeni uwanjani mkapate point za bure!mlivyokua wajinga mnazidi kuwatapeli mashabiki yenu mazuzu yanunue ticket wakati mechi hakuna
 
Kumekucha, mjini kumechangamka! 😂⚽

Klabu ya Simba inatoa taarifa kwa Wanachama, Wapenzi, na Umma kuwa mchezo nambari 184 dhidi ya Yanga uliopangwa kufanyika tarehe 15/6/2025 upo kama ulivyopangwa.

Tunawasihi msihadaike na kelele za mitaani, Wale ambao walinunua tiketi za mechi ya tarehe 8/3/2025 wazitunze kwa ajili ya matumizi ya mchezo huo na wale ambao hawajanunua tiketi wajiandae kununua baada ya tangazo la Bodi ya Ligi.

"Twendeni tukaujaze Uwanja wa Mkapa"

Inafahamika wazi kuwa Ligi Kuu ya NBC inajumuisha Timu 16 na si ligi ya timu moja, Kwa mujibu wa taratibu kabla ya kuanza msimu, Vilabu vyote 16 hushiriki vikao na kutoa mapendekezo ya kuboresha kanuni na taratibu ili kuimarisha ligi yetu, Hivyo wenye hoja wafuate taratibu husika.

Tunaomba Bodi ya Ligi na TFF watoe hadharani ripoti ya uchunguzi juu ya wale wote waliohusika kuharibu mechi ya ligi jioni ya tarehe 7/3/2025 na wachukuliwe hatua stahiki na mamlaka husika.

Kutotolewa kwa ripoti na kutochukuliwa hatua kwa wanaoendelea kuchochea ghasia ni sawa na kulinda uharamia katika mpira ambao unatia dosari mafanikio yaliyopo katika tasnia ya mpira wa miguu nchini kwa sasa.

NO REFORMS NO ELECTION
 
ukisikia mtoto kautaka ndo hii
 
Back
Top Bottom